Leo Basila kamponda live Wolper japo hajamtaja jina

Leo Basila kamponda live Wolper japo hajamtaja jina

mambo ya mjini... uwoya nae anakula sana bata.. wanakwambia mzee wake amestaafu urubani.. kampa binti yake nusu ya mafao yake... maana hana shida nayo ana miradi mingi... uwoya kafurahi sana kaanza bata
Uwoya mambo safi yule since long...acha ale gud life na anakula bata kweli kweli si mchezo
 
Back
Top Bottom