Leo Basila kamponda live Wolper japo hajamtaja jina

Kabisaa
 
Kabisa vitu vidogo kama hivyo ilibidi waviache vipite tu,washakuwa watu wazima 30+ is not a joke.
 
Sema Wolper hawakumtendea haki dada wa watu kapost begi kubwa yupo airport anaenda mwanza kwenye ujaji amefika kule wakamyeyusha sipati picha lilivyomshuka sijui alirudije kwa aibu
 
Kinachomsumbua huyu dada ni lile gari la Miss Tanzania kiukweli ni gari baya yani wameshindwa hata kumnunulia Miss Tanzania hata Toyota Altezza, Subaru Legacy au Forester tukajua moja...basi labda ni shida zipo VW Golf ya 2005 hata za milioni 10 basi dahh
 
Basili Mwanukuzi mbona siku hizi kila siku vijembe!
YANI AMEKUWA MSWAHILIIIIIIIIIIIIIIIIIII!
anaongeaaa!
anajivalidate!
yani aaaargh!
SIJAZOEA KABISA HIZI MAKITU KWA MAMISS WA ENZI YAKE!
Ana kibri cha pesa ya urithi na leseni yake ya u miss Tanzania
Ameshaingia kwenye anga za watu 'wabaya' kina Le Mutuz na genge lake,watamfyeklea mbali kisanii
 
Basila umenena vyema
Waache wakawe majaji wa vigodolo na udangaji bongo movi
Proffession lazima ziheshimiwe full stop
 
HIVI BAADA YA DOGO JANJARO KUMKOJOLESHA NA KUMWACHA WOLPER NANI AMEPEWA TENA KANDARASI YA KUENDELEA KUMKUNJA NA KUIOKOTA ILE PAPUCHI.AISEE NASIKIA WOLPER ANA MVI ADI KWENYE MAVUZI.
 
HIVI BAADA YA DOGO JANJARO KUMKOJOLESHA NA KUMWACHA WOLPER NANI AMEPEWA TENA KANDARASI YA KUENDELEA KUMKUNJA NA KUIOKOTA ILE PAPUCHI.AISEE NASIKIA WOLPER ANA MVI ADI KWENYE MAVUZI.
 
we umejuaje alimaanisha WOLPER kama hamtaja jina
 
Ana kibri cha pesa ya urithi na leseni yake ya u miss Tanzania
Ameshaingia kwenye anga za watu 'wabaya' kina Le Mutuz na genge lake,watamfyeklea mbali kisanii
Kwani pesa za urithi amerithi wapi jamani maana mmeona mahali tena wamesema
 
Rafiki nakubali na wewe 100% ila Dada Basila nnaemjua Mimi sio wa kugombana na watoto wa bongo muvie wolpa hana status ya basila hata kidogo
Huyo aliyeponda hiyo zawadi kama kweli anajali hiyo fani basi naye angetoa mchango wake.
Tatizo kubwa la vijana wa sasa ni uhodari wao wa kuponda bila kutoa alternative option.
Na kwa bahati mbaya hata mwendawazimu anaweza kuponda.
'ADA YA MJA NI KUNENA, MUUNGWANA NI VITENDO'
 
hela za urithi ni unazirithi kwa mzazi wako... na yeye amerithi za wazazi wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante nimecheka balaaq
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante nimecheka balaaq

mambo ya mjini... uwoya nae anakula sana bata.. wanakwambia mzee wake amestaafu urubani.. kampa binti yake nusu ya mafao yake... maana hana shida nayo ana miradi mingi... uwoya kafurahi sana kaanza bata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…