Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,378 Reaction score 56,047 Sep 28, 2018 Thread starter #61 FRESHMAN said: mambo ya mjini... uwoya nae anakula sana bata.. wanakwambia mzee wake amestaafu urubani.. kampa binti yake nusu ya mafao yake... maana hana shida nayo ana miradi mingi... uwoya kafurahi sana kaanza bata Click to expand... Uwoya mambo safi yule since long...acha ale gud life na anakula bata kweli kweli si mchezo
FRESHMAN said: mambo ya mjini... uwoya nae anakula sana bata.. wanakwambia mzee wake amestaafu urubani.. kampa binti yake nusu ya mafao yake... maana hana shida nayo ana miradi mingi... uwoya kafurahi sana kaanza bata Click to expand... Uwoya mambo safi yule since long...acha ale gud life na anakula bata kweli kweli si mchezo
K kabombe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 26,153 Reaction score 18,740 Sep 28, 2018 #62 Raynavero said: Kwani pesa za urithi amerithi wapi jamani maana mmeona mahali tena wamesema Click to expand... Yule si mtoto wa Dr.Mwanukuzi?mambo flan nyumba oystetbay n.k acha tu
Raynavero said: Kwani pesa za urithi amerithi wapi jamani maana mmeona mahali tena wamesema Click to expand... Yule si mtoto wa Dr.Mwanukuzi?mambo flan nyumba oystetbay n.k acha tu