Kanisa la Orthodox husherehekea Krismasi Januari 7 kwa sababu linatumia kalenda ya Julian, ambayo iko nyuma kwa siku 13 ikilinganishwa na kalenda ya Gregorian inayotumika na makanisa ya Magharibi. Hivyo, tarehe 25 Desemba ya Julian huangukia Januari 7 kwenye GregorianLeo ni krismasi kwa mataifa kadhaa duniani, yakiadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Mamilioni ya Wakristo wa dhehebu la Orthodox husheherekea Krismasi Januari 7, badala ya Disemba 25, iliyozoeleka na wengi. Unaweza kuiita Krismasi ya Orthodox.
Ni sikukuu inayopewa heshima kubwa kwa baadhi ya mataifa hasa ya magharibi.
Sababu kuu ya tofauti ya tarehe ya Krismasi iko kwenye matumizi ya kalenda tofauti.
Wakristo wa dhehebu la Orthodox hufuata kalenda tofauti na kalenda ya Gregorian ambayo kawaida hutumika katika nchi za Magharibi.
WAISLAM HATUNA TOFAUTI KAMA HII
Wadanganye wajingaLeo ni krismasi kwa mataifa kadhaa duniani, yakiadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Mamilioni ya Wakristo wa dhehebu la Orthodox husheherekea Krismasi Januari 7, badala ya Disemba 25, iliyozoeleka na wengi. Unaweza kuiita Krismasi ya Orthodox.
Ni sikukuu inayopewa heshima kubwa kwa baadhi ya mataifa hasa ya magharibi.
Sababu kuu ya tofauti ya tarehe ya Krismasi iko kwenye matumizi ya kalenda tofauti.
Wakristo wa dhehebu la Orthodox hufuata kalenda tofauti na kalenda ya Gregorian ambayo kawaida hutumika katika nchi za Magharibi.
WAISLAM HATUNA TOFAUTI KAMA HII
Ni sahihi. Kijana umekua sasa kwa majibu haya. Fanya mpango uone basi. πππLa muhimu watu wale ubwabwa na soda tu ,kuuliza uliza sana hakubadili Chochote.
Na sisi Wahabi hatusheherekei kabisa Maulid ya Mazazi ya Mtume kwani ni bidahaaWadanganye wajinga
Shia wanasherekea maulid tarehe ngapi? Na suni wanasherekea maulid tarehe ngapi?
Kwani kusherehekea krismas ni ibada ? Hivyo siku yoyote unaweza kusherehekea hata mara 10 kwa mwaka nk hakuna dhawabu wala dhambi labda upate dhambi kwa yale unayo yafanya hiyo siku kuwa ni maovuLeo ni krismasi kwa mataifa kadhaa duniani, yakiadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Mamilioni ya Wakristo wa dhehebu la Orthodox husheherekea Krismasi Januari 7, badala ya Disemba 25, iliyozoeleka na wengi. Unaweza kuiita Krismasi ya Orthodox.
Ni sikukuu inayopewa heshima kubwa kwa baadhi ya mataifa hasa ya magharibi.
Sababu kuu ya tofauti ya tarehe ya Krismasi iko kwenye matumizi ya kalenda tofauti.
Wakristo wa dhehebu la Orthodox hufuata kalenda tofauti na kalenda ya Gregorian ambayo kawaida hutumika katika nchi za Magharibi.
WAISLAM HATUNA TOFAUTI KAMA HII
Huu utofauti wa kusherekea maulid ni wapi?Leo ni krismasi kwa mataifa kadhaa duniani, yakiadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Mamilioni ya Wakristo wa dhehebu la Orthodox husheherekea Krismasi Januari 7, badala ya Disemba 25, iliyozoeleka na wengi. Unaweza kuiita Krismasi ya Orthodox.
Ni sikukuu inayopewa heshima kubwa kwa baadhi ya mataifa hasa ya magharibi.
Sababu kuu ya tofauti ya tarehe ya Krismasi iko kwenye matumizi ya kalenda tofauti.
Wakristo wa dhehebu la Orthodox hufuata kalenda tofauti na kalenda ya Gregorian ambayo kawaida hutumika katika nchi za Magharibi.
WAISLAM HATUNA TOFAUTI KAMA HII
Kwa wa islami huu ni mwezi wa ngapi na ni Mwaka WA ngapiLeo ni krismasi kwa mataifa kadhaa duniani, yakiadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Mamilioni ya Wakristo wa dhehebu la Orthodox husheherekea Krismasi Januari 7, badala ya Disemba 25, iliyozoeleka na wengi. Unaweza kuiita Krismasi ya Orthodox.
Ni sikukuu inayopewa heshima kubwa kwa baadhi ya mataifa hasa ya magharibi.
Sababu kuu ya tofauti ya tarehe ya Krismasi iko kwenye matumizi ya kalenda tofauti.
Wakristo wa dhehebu la Orthodox hufuata kalenda tofauti na kalenda ya Gregorian ambayo kawaida hutumika katika nchi za Magharibi.
WAISLAM HATUNA TOFAUTI KAMA HII
Answar Sunna siku zote huwa wanasherikia Eid siku moja kabla ya Waislamu wa BAKWATA lakini serikali huwa haifanyi sikukuu yao kuwa sikukuu ya umma kitaifa yenye mapumziko.Wadanganye wajinga
Shia wanasherekea maulid tarehe ngapi? Na suni wanasherekea maulid tarehe ngapi?
Wewe KIAZI heri ya mwaka mpya , umepotea wapi aseeNi sahihi. Kijana umekua sasa kwa majibu haya. Fanya mpango uone basi. πππ