Weekend hii lazm 🎲🎲 ila sio kwa mkeka huo 😀😀Jilipue mkuu! Chukua hata mechi 2.
Unaota ndoto za mchana?
Kwamba Arsenal anakufa kwa palace?? Siyo kweli, Arsenal anashindaaaaUnaota ndoto za mchana?
Nashinda hii gemu tunza hii postUnaota ndoto za mchana?
Mwanga sana wee jamaa ,sisi Chelsea mbona mnatuchukia hivi...Ikiwa ligi kuu ya uingereza inaanza leo kaa karibu yangu niweze kukubashiria matokeo sahihi ya weekend hii! Kwa kuanza Arsenal anakufa 2-1.
Chelsea anadraw 1-1
Liverpool anashinda 3-1
Spurs anashinda 4-0
Newcastle anashinda 2-1
Aston villa anadraw 0-0
Leeds anadraw 2-2
Westham anashinda 1-0
Man utd anakufa 2-1
Brentford anadraw 1-1
Karibuni! Thank me later!
We will win ...Ndo uhalisia wa weekend hii! Save my post for future uses!