Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Man city hii timu iliyoanza kutamba 2008?Man city.
Arsenyali nitafute nn mie?? Sema wameniudhi kumchukua kipenzi changu Jesus.
HaswaaaaahTusubiri muda utaongea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah. Hapanaaa.Man city hii timu iliyoanza kutamba 2008?
Basi utakuwa mtoto mdogo sana ndio maana unasema hivyo.
Waliozaliwa kuanzia 2000 kurudi chini kwa Uingereza ni Mashabiki wa Man U, Livapool na Arsenal na hizo ndio timu kubwa England.
Halafu Arsenal ndiyo timu inyoongoza kwa warembo, ma-handsome na ma-geneous dunia nzima.
Vipi lakini kuhusu Chelsea ?Mimi sikuangalia nipe matokeo...Spurs imetiki hiyo japo hilo goli 1 ndio limeharibu. Chelsea lazima itiki piga ua!
Aibu yako mganga wa kienyejiIkiwa ligi kuu ya uingereza inaanza leo kaa karibu yangu niweze kukubashiria matokeo sahihi ya weekend hii! Kwa kuanza Arsenal anakufa 2-1.
Chelsea anadraw 1-1
Liverpool anashinda 3-1
Spurs anashinda 4-0
Newcastle anashinda 2-1
Aston villa anadraw 0-0
Leeds anadraw 2-2
Westham anashinda 1-0
Man utd anakufa 2-1
Brentford anadraw 1-1
Karibuni! Thank me later!