Leo EPL inaanza rasmi: Natabiri Arsenal kufa 2 kwa Crystal Palace

Sawa mkuu
 
Kwa jinsi game inavyoenda, arsenal atalimwaga mda wowote, hawaaminiki hawa watoto.
 
Xaka kafanya maajabu
 
Uchawi sio mpaka kupaa na ungo, mmoja wapo ni huyu, haya Arsenal kampiga mtu huko
 
Jamaa katabiri kishabiki.. eti timu zote kubwa zisipate matokeo isipokuwa Liverpool tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…