Leo EPL inaanza rasmi: Natabiri Arsenal kufa 2 kwa Crystal Palace

Spurs imetiki hiyo japo hilo goli 1 ndio limeharibu. Chelsea lazima itiki piga ua!
 
Man city.

Arsenyali nitafute nn mie?? Sema wameniudhi kumchukua kipenzi changu Jesus.
Man city hii timu iliyoanza kutamba 2008?

Basi utakuwa mtoto mdogo sana ndio maana unasema hivyo.

Waliozaliwa kuanzia 2000 kurudi chini kwa Uingereza ni Mashabiki wa Man U, Livapool na Arsenal na hizo ndio timu kubwa England.

Halafu Arsenal ndiyo timu inayoongoza kwa warembo, ma-handsome na ma-geneous dunia nzima.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah. Hapanaaa.
 
mkuu jaribu kuchunguza waliozaliwa mwaka huo wote wanaishabikia Man U
 
Aibu yako mganga wa kienyeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…