Atakuwa anasubiria mshiko wake kwa Vilaza wa Utopolo Jangwani.
Wachezaji wa kigeni hapo ndipo shambani kwa bibi yao.
Hao jamaa hapo kwenye jangwa la njano lenye tope jingi na vyura sidhani kama wapo serious. Niliona juzi wanapeleka timu uwanjani wakati hakuna refa wala kamisaa wala nani, NIKASEMA HILI LITIMU NI UTOPOLO KWELI