luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Ni takribani miezi 3 kupita baada ya Uingereza na kenya kukubaliana mpango wa kuwa ajiri wahudumu wa afya (nurses) kutoka Kenya, Leo hii Nov 12, 2021 serikali ya uingereza imetangaza kusitisha mpango huo na kisha kuhoji uhaba wa nurses ktk vituo vya afya vya kenya, ikisema Kenya inahitaji wahudumu hao wa afya kuliko Uingereza hivyo imesitisha mpango huo ,
Hili limekuja baada ya majumaa 2 kupita ambapo nurses 10 tu walifaulu mtihani wa lugha ya kingereza na watahiniwa (nurses) 300 walishindwa mtihani wa English ili kupata kibali cha kufanyia kazi ktk shirika la afya la Uk (NHS).
Jambo hili limeibua mjadala na masononeko kwa baadhi ya wataalam wa afya ambao walikuwa na nia ya kuwania fursa iyo.