permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Tuambie wale waliofaulu nao wameambiwa wabakie Kenya kutokana na huo upungufu, na unataka kusema mpaka UK inaingia hilo deal na Kenya hawakuwa wamefanya tathmini ya kutosha?Mbona wadau hamjaona hoja ya msingi kwenye hii habari badala yake mmelishikilia swala la lugha?
Wamesema Kenya kuna maeneo hospital hazina hao watumishi na imeonekana Kenya inawahitaji zaidi kuliko Uingereza.
Mimi nimeelewa.