Leo hii Nov 12, 2021 Serikali ya Uingereza imetangaza kusitisha mpango wa kuajili Manesi kutoka Kenya

Wewe ndio kilaza sababu Huwezi hudumia sector nyeti ya uhai wa mtu bila kujua lugha yake, kufanya upasuaji wa kichwa badala ya goti muhimbili ilikua ni tatizo lililotokana na matatizo ya mawasiliano,

Mawasiliano ni jambo nyeti sana kwenye sector ya, uhai wa mtu
 
it's only a good thing if the ministry/government realizes that it needs to step up it's game and learn from their mistakes. they've mismanaged this whole situation.
Kwenda kuchambisha tu vizee vya kizungu ndio mnayumbishwa hivi, je kama mngekua mnaenda kukaa kwenye stools za maabara na theaters ingekuaje? 😅😅😅

Baada ya kusugua floor na masufuria ya muarabu huko gulf sasa nendeni UK mkatawaze vikongwe

Ni aibu Rais wa Nchi anafunga safari na kukaa Meza moja na kiongozi mkubwa wa Nchi kujadili kuhusu kazi kama hizo meanwhile wengine wanaclose multi billion trade deals
 
All hints indicate you were born with this right of being idiot and you exercise it to the fullest. Because your head is deaf to reason, you can't even ask why UK pressed for direct participation in the training of nurses to be employed in UK. You here farting and simpering, arguing the deal is still alive.
 
Kuna mahali wamesema wamewachukua?
 
Kuna mahali wamesema wamewachukua?
Ilo katazo limewasikishwa baada ya wao walikuwa washa sit kwa mitihani na walikuwa washafuzu vigezo vyote ....

Na hata ukifuatilia iyo tweet ya balozi wa Uk hapo kenya, ni kwamba hakutakuwa na ule mfumo wa kujiombea tu kiohela holela ni kutakuwa na mfumo maalum wa kuwaajiri
 
Wazungu weusi ni Watz, kila siku kushobokea wazungu na kujiita light skin.
 
Wazungu weusi ni Watz, kila siku kushobokea wazungu na kujiita light skin.
Wenzako Kiinglish kimewafelisha saa hizi ungekuta kupasua nywele kama wazungu. Ila ni afadhali kwa sababu kuleta aibu nyingine kwa Afrika, kwa sababu hukawii kusikia mwanaume wa Kenya kaolewa na mzungu.
 
Hahaha ile ye muhimbili mbona mgonjwa na daktari wote walikuwa waswahili? au ubongo wa mtu anaeongea kiingereza unatofautiana na wa anayeongea kiswahili??
 
Hawa wakenya kumbe kingereza hawajui ,kabisa , ni Bora tuendelee kuzungumza kiswahili, karibuni tuzungumze kwa kiswahili, kumbe huwa mnaonge brokeni English,poor
 
Ile operation wali kosa umakini
 
Hahaha ile ye muhimbili mbona mgonjwa na daktari wote walikuwa waswahili? au ubongo wa mtu anaeongea kiingereza unatofautiana na wa anayeongea kiswahili??
Mawasiliano sio lugha tu japo lugha inahusika pakubwa, nafikiri umesoma communication skills, rejea umuhimu wake hasa kwenye eneo la hospital
 
Mawasiliano sio lugha tu japo lugha inahusika pakubwa, nafikiri umesoma communication skills, rejea umuhimu wake hasa kwenye eneo la hospital
Sasa kumbe mtu anaweza kuwa na communication skills nzuri ila hajui lugha husika vizuri...kwasababu kufeli mtihani wa Bre haimaanishihujui kiingereza...kuna waingereza hata ukiwapa huo mtihan watafeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…