Leo Hispania atajua kuwa jana siyo leo!!: Go Cape/Cabo Verde Go!!

Naomba niwakumbushe: Cape Verde walishinda michezo 6 kati ya saba ya kufuzu kombe la dunia. Imeshinda michezo yote mitatu iliyocheza kabla ya kuianza michuani hii!!
Halafu soka la sasa tofauti ni ndogo sana kati ya mataifa yanayotajwa kama vigogo wa soka na mataifa mengine!
 
Nchi ya Cape/Cabo Verde ina watu laki sita tu, na wale wanaoishu nje ya nchi ni wdngu kuliko wale wanaoishi ndani ya nchi. Tanzania tuko milioni sitini, ni wengi mara Mia kuliko Cape Verde lakini tumekosa kupata watu 30 tu katika hao 60,000,000 wanaoweza kutuvusha kisoka tukafuzu world cup!
 
weka kikosi chao
Kikosi cha Cabo Verde (Cape Verde) kinachotazamiwa kuanza leo katika mchezo wao wa kwanza wa kihistoria wa Kombe la Dunia dhidi ya Hispania katika Kundi H kitajumuisha nyota kama ifuatavyo: [1, 2]
  • Kipa: Marcio Rosa
  • Beki: Steven Moreira, Logan Costa, João Paulo, Deroy Duarte
  • Viungo: Telmo Arcanjo, Willy Semedo, Livramento
  • Washambuliaji: Ryan Mendes, Jovane Cabral, Benny
 
wanaweza kufunga ila kushida nina mashaka!
 
Wanatumia mfumo wa 5-4-1
Hawa hapa

1781523695664.jpeg
 
Nchi ya Cape/Cabo Verde ina watu laki sita tu, na wale wanaoishu nje ya nchi ni wdngu kuliko wale wanaoishi ndani ya nchi. Tanzania tuko milioni sitini, ni wengi mara Mia kuliko Cape Verde lakini tumekosa kupata watu 30 tu katika hao 60,000,000 wanaoweza kutuvusha kisoka tukafuzu world cup!
China na India wasemeje?
 
Back
Top Bottom