mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
- Thread starter
- #121
Cabo/Cape Verde imeendelea kudhihirisha kuwa hakuna kuingia uwanjani na matokeo kisa eti una jina kubwa!! Uruguay ameliorate cha mogo! Mechi yake ya tatu ni nyepesi sana lazima stashing na kuingia 32 bora!