Lopsided_Truth
JF-Expert Member
- Jun 12, 2026
- 250
- 939
Imetokeaje? Kama Cape hawapo vizuri wangefungwa. Sasa watu hawapo vizuri halafu hawajafungwa inakuwa na maana gani? Wapeni credits zao sababu mmegawana alama sawaTulia wewe leo imetokea tu sio kusema kwamba Cape Verde wapo vizuri