mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
- Thread starter
- #81
Kama uzi unavyosema, baada ya mechi Hispania imejua kuwa JANA SIYO LEO!! Sifa yake ya siku zilizopita nazo zimepita!! Leo ina miamba yake inayoinukia, na amelazimika kuuona ukweli huu kwa maumivu makali!!
Team Hispania karibuni tusikimbiane baada ya dk 90 kama nilivyowaomba!
Team Hispania karibuni tusikimbiane baada ya dk 90 kama nilivyowaomba!