Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Spain atashinda tu hatimaye
Ndo wanapumulia kwenye mashine kabisa kisoka!China na India wasemeje?
Kwenye soka la leo, matokeo ya uwanjani kwa sehemu kubwa yanaamuliwa kwenye benchi la ufundi! Kwenye makaratasi hakuna ubishi Hispania wako juu sana!, ni wa pili duniani! Lakini uwanjani ndani ya dakika 90 matokeo yanaamuliwa na benchi la ufundi lililouliza maswali magumu ambayo wapinzani wameshindwa kuyajibu!! Cape Verde imechomoza kuwa na kocha bora sana aliyetwaa tuzo ya kocha bora Africa 2025! Kati ya mechi saba, aliuliza maswali ambayo katika mechi sita hakuna aliyeyajibu na kuibuka kidedea! Kuna uwezekano mkubwa hata leo maswali yake aliyoandaa hispania akashindwa kuyajibu!!Sasa huu ni utabiri wa kiimani tu ila tukiangalia analysis based on facts Cape Verde haina lolote la kumzidi Spain kwenye football.Ni kataifa madogo sana kisoka ukilinganisha na Spain.
Wenyewe wacheze waenjoy tu soccer lakini wakiingia kama vichaa wakitaka kuifunga Spain kwa imani kama ile ya "twendeni Airport ,kwa imani tutasafiri hadi Marekani,hakuna wa kutuzuia,passport,vissa ni mambo ya kidunia tu!" ya mashahidi wa Jehova,basi watakula nyingi kama wale wengine waliocheza na Germany.......
Capeverde kushinda ni ndoto za mchanaKama kuna maajabu nahisi dunia itayashuhudia leo ni Cape Verde kumkomalia Hispania!! Ķuna uwezekano mkubwa sana (90%) Cape Verde akaibuka kidedea mechi ya leo kombe la dunia!! Huu uzi ukisinzia nina uhakika utaamshwa baada ya kipyenga cha mwisho!!
Uko sahihi sana kwa kuangalia kwenye makaratasi!! Kwa soka la leo maswali yanayoulizwa na benchi la ufundi katika mechi husika, yana uzito kuliko rekodi za nyuma kwenye makaratasi!! Kwa sasa benchi la ufundi la Cabo Verde linatisha! Tusubiri dakika 90 halafu tukutane hapa!Jamaa yangu umefanya mpira kwamba ni kitu cha miujiza sio?Cape verde kwa Spain uongo.Angalia squad ya Spain then compare na hao unawapa nafasi.Wakishinda itakuwa ajabu sio mpira(kila kitu kinawezakana lakini,imani muhimu)
Tusikimbiane baada ya mechi!!Capeverde kushinda ni ndoto za mchana
Tusikimbiane baada ya mechi!!Capeverde kushinda ni ndoto za mchana
Kaka naheshimu sana mawazo yako lakini hakuna swali hapa Spain anatakiwa kujibu zaidi ya kumfunga Cape verde.Imagine una Unai Simon,David Raya,Garcia pedro,pedri,Nico williams,Lamine,zubimendi namatani kutaja wote lakini hao tu hata nipewe mimi hiki kikosi japo sijawahi fundisha mpira namfunga huyo Cape verdeUko sahihi sana kwa kuangalia kwenye makaratasi!! Kwa soka la leo maswali yanayoulizwa na benchi la ufundi katika mechi husika, yana uzito kuliko rekodi za nyuma kwenye makaratasi!! Kwa sasa benchi la ufundi la Cabo Verde linatisha! Tusubiri dakika 90 halafu tukutane hapa!
Kaka kikosi hicho hapo.Usisahau cape verde alipoteza kwa Chile na Finland alimtandika kwa matutaUko sahihi sana kwa kuangalia kwenye makaratasi!! Kwa soka la leo maswali yanayoulizwa na benchi la ufundi katika mechi husika, yana uzito kuliko rekodi za nyuma kwenye makaratasi!! Kwa sasa benchi la ufundi la Cabo Verde linatisha! Tusubiri dakika 90 halafu tukutane hapa!
WtfKama kuna maajabu nahisi dunia itayashuhudia leo ni Cape Verde kumkomalia Hispania!! Ķuna uwezekano mkubwa sana (90%) Cape Verde akaibuka kidedea mechi ya leo kombe la dunia!! Huu uzi ukisinzia nina uhakika utaamshwa baada ya kipyenga cha mwisho!!
Huwezi kulinganisha Cape Verde inayonolewa na kocha bora afrika 2025 na hao Curacao na Tunisia kwa sasa! Ni kweli haifahamiki sa a kisoka lakini msifumbe macho: Cape verde omeshinda mechi sita kati ya saba za kufuzu kombe la dunia!Amka utatepetesha shuka!
Huyo Cape Verde anakula nyingi kama wenzao Tunisia na Curacao