Leo Hispania atajua kuwa jana siyo leo!!: Go Cape/Cabo Verde Go!!

Haya niambie! Yamal aliingia au hakuingia! Kaambulia nini? Tatizo watu wamekariri! Hawaoni vitu vipya vinavyokuja! Wachambuzi makini walishaiona inavyokuja Cape Verde na hawashangai alivyomkomalia hispania Kwanza nasema kweli hispania ashukuru sana kwa sare hiyo, ilikuwa apasuke!!
Hawa huwa wanaendeshwa na mihemko. Yaani wanatoa conclusion kutokana na kile wanachoona on paper, wanasahau kuwa inaweza isikupe matokeo kulingana na uzani wa karatasi.

FT 0-0, Cape Verde GK POTM
 
Spain apasuke kwa on target moja kuwa serious man sema tu Spain walikuwa wazito basi lakini Cape verde hamna kitu.Hii inaweza kuwa point kapata.
Ujue kwa wasiofuatilia mwenendo wa soka la kimkakati, Cape Verde ndio walidhani ndio nchi ya kufungwa na kila timu kwenye kundi hili! Nina uhakika baada ya mechi hii mtazamo huu umeyeyuka kama nta kwenye moto!!
Nina uhakika Saudi Arsbia na Uruguai watapasuka kirahisi na lazima Cape Verde isonge mbele, kama si kwa kuongoza kundi basi kwa kushika nafasi ya pili. Hispania ni hatihati kwa Uruguai
 
Kaka huu ujinga kafanya Spain tu.Kwa Saudia sitaki kuongea sana lakini Uruguay anawapasua vizuri
 
Nchi ya Cape/Cabo Verde ina watu laki sita tu, na wale wanaoishu nje ya nchi ni wdngu kuliko wale wanaoishi ndani ya nchi. Tanzania tuko milioni sitini, ni wengi mara Mia kuliko Cape Verde lakini tumekosa kupata watu 30 tu katika hao 60,000,000 wanaoweza kutuvusha kisoka tukafuzu world cup!
Idadi ya watu haina effect
Cha muhimu vipaji, China na India kila moja zina watu 1B+ lakini hawakufuzu
 
Ujue kwa wasiofuatilia mwenendo wa soka la kimkakati, Cape Verde ndio walidhani ndio nchi ya kufungwa na kila timu kwenye kundi hili! Nina uhakika baada ya mechi hii mtazamo huu umeyeyuka kama nta kwenye moto!!
Nina uhakika Saudi Arsbia na Uruguai watapasuka kirahisi na lazima Cape Verde isonge mbele, kama si kwa kuongoza kundi basi kwa kushika nafasi ya pili. Hispania ni hatihati kwa Uruguai
Tulia wewe leo imetokea tu sio kusema kwamba Cape Verde wapo vizuri
 
Cape verde mnawachukuliaje lakin
Cape verde wamekuwa na nidhamu ya kulinda kwa hawa washenzi lakini sina uhakika hii nidhama kama itawaweka salama game zijazo.Spain wale washenzi walikuwa wanacheza kama magodfather.Huu upimbi naomba Spain akafanye kwa Saudia atajua mpira ni kitu gani au kwa Uruguay
 
Back
Top Bottom