mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Mechi ni saa moja usiku leo.match sangapi?
Kikosi cha Cabo Verde (Cape Verde) kinachotazamiwa kuanza leo katika mchezo wao wa kwanza wa kihistoria wa Kombe la Dunia dhidi ya Hispania katika Kundi H kitajumuisha nyota kama ifuatavyo: [1, 2]weka kikosi chao
wanaweza kufunga ila kushida nina mashaka!Kikosi cha Cabo Verde (Cape Verde) kinachotazamiwa kuanza leo katika mchezo wao wa kwanza wa kihistoria wa Kombe la Dunia dhidi ya Hispania katika Kundi H kitajumuisha nyota kama ifuatavyo: [1, 2]
- Kipa: Marcio Rosa
- Beki: Steven Moreira, Logan Costa, João Paulo, Deroy Duarte
- Viungo: Telmo Arcanjo, Willy Semedo, Livramento
- Washambuliaji: Ryan Mendes, Jovane Cabral, Benny
Senegal alimfunga bingwa mtetezi.Maajabu ya Senegal kombe la dunia 2002 tunategemea kuyaona leo kwa Czbo Verde!
China na India wasemeje?Nchi ya Cape/Cabo Verde ina watu laki sita tu, na wale wanaoishu nje ya nchi ni wdngu kuliko wale wanaoishi ndani ya nchi. Tanzania tuko milioni sitini, ni wengi mara Mia kuliko Cape Verde lakini tumekosa kupata watu 30 tu katika hao 60,000,000 wanaoweza kutuvusha kisoka tukafuzu world cup!