Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mti wenye matunda ndio upigwao mawe na Nabii hakubaliki kwao na bila kusahau kelele za chura hazimzuii tembo kunywa Maji.JM ni janga hapo TFF aisee...
aseee...itabidi lile faili lake pale Upanga liitwe haraka sana...ila nasikia JM ameungana na Mlamu Mng'ami wa Dodoma ,na anategemea sapoti ya FoS ,ngoja nitarudi kumwaga vitu hapaMkuu hili ni Swali ambalo kiuhakika hata Mimi najiuliza sana kwani hakuna Watu ambao wana Njaa iliyotukuka kama hawa Wajumbe wapiga Kura na kuna Mdau mmoja ambaye yupo karibu na tunayempinga na kumtaka apigwe chini anasema kuwa kwa Hela / Pesa / Fedha aliyoipiga Jamaa anaweza kuwahonga Wajumbe wote Gari mpya aina za IST na akawapa kila mmoja Hela ya Mboga Tsh Milioni Moja Moja.
Hayo ni maneno tuu hata kwenye khanga yapo. Naona Malinzi anawakosesha sana raha,hamlali wala kula na kunywa vizuri.aseee...itabidi lile faili lake pale Upanga liitwe haraka sana...ila nasikia JM ameungana na Mlamu Mng'ami wa Dodoma ,na anategemea sapoti ya FoS ,ngoja nitarudi kumwaga vitu hapa
hahahahahahahaaha,mamneo hayakosekani kipindi hiki mkuu,ila TUSUBIRI tuoneHayo ni maneno tuu hata kwenye khanga yapo. Naona Malinzi anawakosesha sana raha,hamlali wala kula na kunywa vizuri.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Umeona eeh,hasa hasa kwa watu waganga nja na watumia fursa kama huyo popoma Gentamycine.hahahahahahahaaha,mamneo hayakosekani kipindi hiki mkuu,ila TUSUBIRI tuone
hahahahaahahaha,Umeona eeh,hasa hasa kwa watu waganga nja na watumia fursa kama huyo popoma Gentamycine.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Bukoba mpaka SegereaMalinziii Bukoba mpaka Karumeeee.
Mkuu shikamoo maana kwasasa ndio nimekuelewa ulichokuwa unamaanisha. Shikamoo tenaKwa Umafia ambao anaenda kufanyiwa atajuta kuwafahamu wenye mpira wao nchini Tanzania.
Shikamoo mkuuNakumbuka uchaguzi wa kwanza uliomuengua Mzee Ndolanga na kumuweka Tenga madarakani! Serikali ikiamua jambo lake na kulisimamia haishindwi kirahisi! Siamini kama serikali itakuwa na Malinzi
Duuuuh kuna watu inaelekea mnafahamu fitna sana!!!Kwa Umafia ambao anaenda kufanyiwa atajuta kuwafahamu wenye mpira wao nchini Tanzania.
kwenye TFF TUNASEMA BURIAN MALINZI AVEVA AND CO LTDKatika kile kinachoonyesha kwamba Watanzania hasa wapenda Soka / Kandanda wamechoka na Uongozi / Utawala wa sasa wa Rais wa TFF Jamal Malinzi hatimaye leo asubuhi mida ya Saa 5 Viongozi wanaotakiwa kuiongoza TFF wanachukua Fomu rasmi ili kupambana na kumtoa Malinzi madarakani.
Na ili kuonyesha kuwa huenda hawa Watu wawili wakawa ni mwiba mchungu kwa Rais wa TFF Jamal Malinzi ni kwamba wamepata baraka zote kutoka kwa Wadau wengi wa Soka nchini na hata Serikalini na kuna uwezekano mkubwa mno kwa jinsi mikakati yote ilivyopangwa huu ukawa ndiyo mwisho wa Jamal Malinzi ndani ya TFF.
Watu hao ni Mchezaji na Nahodha wa zamani wa Yanga FC, Mchambuzi mahiri wa Soka, Mdau mkubwa wa Soka na Msomi mzuri wa masuala ya Biashara na Uongozi Ndugu Ally Mayai Tembele ambaye amepangwa kugombea nafasi ya Urais wa TFF na Makamu wake inasemekana amepangwa kuwa ni Mchezaji wa zamani wa Kiungo wa Simba SC na aliyekuwa na mafanikio makubwa, Mdau mkubwa wa masuala ya Soka na Kiongozi wa zamani wa TFF Mzee Mtemi Ramadhan.
Kinachowafanya hawa Watu akina Ally Mayai na Mzee Mtemi Ramadhan wakubalike na Wadau wengi wa Soka / Mpira nchini Tanzania ( GENTAMYCINE inclusive ) ni kwamba kwanza wamecheza mpira katika Kiwango cha juu kabisa hivyo wanajua nini maana ya Soka na Maendeleo yake. Lakini pia hawa Watu wawili ni kweli kuwa mmoja wapo ni mwana Yanga na mwingine ni mwana Simba ila uzuri wao ni kwamba huwa hawana Unafiki na hawatangulizi mapenzi kwa hivyo Vilabu vyao pindi vinapokuwa na matatizo bali wao husimamia Ueledi na Ukweli hasa katika Utendaji wao.
Watoto wa mjini tunasema kwa Kauli mbiu yetu mpya isemayo “ Malinzi pisha njia wenye Mpira wao wamekuja “. Nianze tu kutoa pongezi zangu za dhati kwa hawa Wadau wangu wakubwa wa Soka Kaka yangu Ally Mayai Tembele na Mzee wangu Mtemi Ramadhan kwa kuamua kuwa Viongozi wa TFF na nina uhakika kama Wajumbe wa TFF wataacha Upopoma / Upumbavu wao basi Rais mpya wa TFF atakuwa ni Ndugu Ally Mayai Tembele na Makamu Rais mpya wa TFF ni Ndugu Mtemi Ramadhan.
Nami namalizia kwa kusema “ Malinzi pisha njia wenye mpira wao wamekuja “.
Nawasilisha.
Hata akigombea Zitto,Malinzi lazima atetee kiti chake kwa kishindo.
Duuuuh kuna watu inaelekea mnafahamu fitna sana!!!
Mkuu shikamoo maana kwasasa ndio nimekuelewa ulichokuwa unamaanisha. Shikamoo tena
Mkuu uliona mbali [emoji119]Kwa Umafia ambao anaenda kufanyiwa atajuta kuwafahamu wenye mpira wao nchini Tanzania.
Frank Wanjiru.. Kiongozi umeingia field nini? Ukitoka field naomba update kuhusu Mr President wa TFF