Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Siyo mimi nina limit, hiyo ni logical consistency kutokana na maelezo yenu kwamba yupo.kwanini wewe unalimit kwamba angekwepo lazima angefanya hivi, mawazo yake si mawazo ya mwanadamu,
ndo maana nilikwambia nilichogundua kwako wewe kuna vitu vyako ulivyo navyo kichwani ulitaka vikiwa hivyo ndo uamini yupo ila mambo hayaendi hivyo
Ilikuwa hivyo kabla mimi sijazaliwa, kwa hivyo si suala langu.
Ni kweli mawazo yake huyo Mungu si mawazo ya mwanadamu, kwa sababu huyo Mungu hayupo, hana mawazo.
Ukibisha thibitisha Mungu yupo.