P h a r a o h
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 785
- 1,413
- Thread starter
- #101
kwanini mkuu!Una haraka ya kwenda kumuona Muumba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini mkuu!Una haraka ya kwenda kumuona Muumba?
Hiki si suala la kuamini, ni suala la kujua. Kuamini una haki ya kuamimini unachotaka.ahaa kumbe wewe umeamua tu kuamini hayupo kwasababu ya logic
kuna vitu vingi sayansi haina Majibu
hili ni mojawapo
unapeleka miaka kwa kasi sanakwanini mkuu!
hapana... ni namba tu ya ku present ila muda unabaki palepaleunapeleka miaka kwa kasi sana
na pia kutokua na uthibitisho kwamba yupo sio kigezo kwamba hayupoHiki si suala la kuamini, ni suala la kujua. Kuamini una haki ya kuamimini unachotaka.
Sayansi kutokuwa na jibu ni sayansi kutokuwa na jibu, sasa kwa nini unataka kufanya sayansi kutokuwa na jibu jibu liwe Mungu?
Yani unalazimisha sayansi kutokuwa na jibu iwe ni uthibitisho kwamba Mungu yupo? Kivipi?
Sawa.na pia kutokua na uthibitisho kwamba yupo sio kigezo kwamba hayupo
Yesu hayupo na hajawai kuwepo, walianzisha huo mfumo wa B.C na A.D ili kutambua matukio kabla ya kuunda ukristo wa kufuata imani ya Mungu mwana wa kigiriki ambaye nae alicopiwa kutoka misri(Afrika) na baadae kumuita Yesu, hiyo A.D maana yake ni age after the invention of Fake Savior(jesus christ) ambaye kiuhalisia ni Mzimu wa zamani za misri ama Afrika ya mababu wa kale.Kwasababu yesu ni Mungu
Bila kujali unachoamini, Je, Yesu hakuzaliwa?Na wamekosea kwa sababu hizi ni habari za watu tu, Mungu hayupo. Angekuwapo, angewaongoza wasikosee tangu mwanzo.
Ninachoamini si muhimu katika facts.Bila kujali unachoamini, Je, Yesu hakuzaliwa?
Ninachoamini si muhimu katika facts.
Kwa kufuata ushahidi wa historicity, Yesu alizaliwa, lakini si miaka 2024 iliyopita.
Point yako nini?
Sawa.
Lakini mimi nasema hayupo si kwa sababu tu hakuna uthibitisho kwamba yupo.
Nasema hayupo pia kwa sababu dhana ya kuwapo kwake ina internal contradiction, internat contradiction inayoonesha kuwa hayupo, unaelewa hilo?
ok hiyo pia ni kwasababu dunia nzima haiwezi kuamini kwa namna mojaSawa.
Lakini mimi nasema hayupo si kwa sababu tu hakuna uthibitisho kwamba yupo.
Nasema hayupo pia kwa sababu dhana ya kuwapo kwake ina internal contradiction, internat contradiction inayoonesha kuwa hayupo, unaelewa hilo?
wewe kasome kwanza historia, tofauti na kwenye vitabu vya dini ( ancient history ),Yesu hayupo na hajawai kuwepo, walianzisha huo mfumo wa B.C na A.D ili kutambua matukio kabla ya kuunda ukristo wa kufuata imani ya Mungu mwana wa kigiriki ambaye nae alicopiwa kutoka misri(Afrika) na baadae kumuita Yesu, hiyo A.D maana yake ni age after the invention of Fake Savior(jesus christ) ambaye kiuhalisia ni Mzimu wa zamani za misri ama Afrika ya mababu wa kale.
Kiufupi tu dunia ina maelfu na mamilioni ya miaka, hao walioleta hizi kalenda hasa hii tunayotumia wao wenyewe wameiba huo mfumo wa mahesabu na kuleta uzushi wa siku 31,30 ktk mwezi badala ya siku 28, pia ndio hawa hawa miezi 12 ya mwaka wameipa majina ya mizimu yao, dunia tukiitizama kiasilia tutagundua mambo mengi tumepigwa, tumeaminishwa ushenzi mtupu
Yesu ndiyo jibu, ogopa matapeliKwa nini tuanze kuhesabu miaka tangu alipozaliwa Yesu?
Kwanza kabisa kuamini si muhimu, muhimu ni ukweli, fact. Ukweli haujali imani.ok hiyo pia ni kwasababu dunia nzima haiwezi kuamini kwa namna moja
Unasema Yesu ndiyo jibu, wakati hujui hata swali ni nini.Yesu ndiyo jibu, ogopa matapeli
Wewe una laana kali sana.Hata huyo Yesu hatumiki kama rejea kwa wasomi leo.
Ukisema BC au AD kwa wasomi wa keo unaonekana dated and not inclusive.
Watu walioelimika wanatumia Before Common Era na After Common Era.
Sasa huyo Yesu kama Mungu alishindwa kufanya watu wapatie mwaka aliozaliwa?
Hamuoni kuwa hayo makosa katika miaka yanaonesha huyo Yesu si Mungu, hiyo habari ni ya kutungwa na watu tu?
Hatari sana
kwanini wewe unalimit kwamba angekwepo lazima angefanya hivi, mawazo yake si mawazo ya mwanadamu,Kwanza kabisa kuamini si muhimu, muhimu ni ukweli, fact. Ukweli haujali imani.
Na hata kwenye imani, dunia kutoamini kwa namna moja nako ni uthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo, angetupa wote uwezo wa kujua ukweli, kungekuwa hakuna kuamini, kungekuwa kuna kujua ukweli mmoja tu.
Umeelewa?
Hata ikiwa kweli nina laana kali.Wewe una laana kali sana.