Siyo mimi nina limit, hiyo ni logical consistency kutokana na maelezo yenu kwamba yupo.kwanini wewe unalimit kwamba angekwepo lazima angefanya hivi, mawazo yake si mawazo ya mwanadamu,
ndo maana nilikwambia nilichogundua kwako wewe kuna vitu vyako ulivyo navyo kichwani ulitaka vikiwa hivyo ndo uamini yupo ila mambo hayaendi hivyo
Rudi nyuma utaelewa na kichwa chako kigumuUnasema Yesu ndiyo jibu, wakati hujui hata swali ni nini.
Kabla ya kufuata ya Mkoloni, je kalenda ya Mtu mweusi ilikuwa ipi?calendar ni man made thing, civilization nyingi zina calendar tofauti, sisi tunafuata ya wakoloni wetu(Gregorian calendar ), sio kila nchi leo ni 2024, mfano Ethiopia leo ni 2014
Kama kweli sijaelewa. Hata kutoelewa kwangu nako ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Rudi nyuma utaelewa na kichwa chako kigumu
Bakia na imani yako as atheist it doesn't affect we believers anyhowKama kweli sijaelewa. Hata kutoelewa kwangu nako ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Haya ni mambo ya watu tu kujitungia.
Mungu huyo angekuwapo, kutoelewa kusingewezekana kwa yeyote.
You are making my point.
Tulikuwa nazo ingawaje ni tofauti na hizi, nyingine zilikuwa zinaenda na majira kama kiangazi,masika, mafuriko etc na wanyama fulani pia walikuwa wakionekana walikuwa wanawatumia kujua wakati tuliopo au kinachofuata, hatuna records maana mkoloni alifuta Kila kitu ila kinamna fulani zilikuwa effectively na zilikuwa zinafanya kazi waliyokusudiaKabla ya kufuata ya Mkoloni, je kalenda ya Mtu mweusi ilikuwa ipi?
Kutokubali Mungu yupo si imani. Ni kukosa imani.Bakia na imani yako as atheist it doesn't affect we believers anyhow