Leo Imetimia mwaka mmoja toka Israel ianze kupewa kipigo

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
07 October 23 ndio kipigo Cha kuwafurusha kilianza rasmi kwa Wavamizi wa Kiyahudi toka Nchini Poland na bara Ulaya waliovamia Palestine kwa ajili ya kulinda maslahi ya mabeberu wa Ulaya.

Israel imekua ikitajwa kama taifa Lenye Silaha na Tech za kisasa lkn kipigo kimekuja kuwaumbua baada kuingiliwa hadi chumbani na kusulubiwa na Wapigania uhuru wa Hamas.

Sasa ni mwaka wameshindwa kudhibiti kikundi kidogo zaidi wameishia kulenga Shule, Hospital, na Makazi ya raia.
 
07 October 23 ndio kipigo Cha kuwafurusha kilianza rasmi kwa Wavamizi wa Kiyahudi toka Nchini Poland na bara Ulaya waliovamia Palestine kwa ajili ya kulinda maslahi ya mabeberu wa Ulaya. Israel imekia ikitajwa kama taifa Lenye Silaha na Tech za kisasa lkn kipigo kimekuja kuwaumbua baada kuingiliwa hadi chumbani na kusulubiwa na Wapigania uhuru wa Hamas.

😂
 
Ukiangalia hali ya gaza ilivyo sasa kama una akili timamu kati ya israel na hamas nani amekula kipondo?
 
Kumbuka wapalestina zaidi ya 40,000 wameshapoteza maisha hadi sasa kufuatia ugaidi waliofanya mwaka moja uliopita na sidhani kama wana cha kujivunia kwa sababu bado tu wataendelea kupoteza maisha.
 
Wamekufa kama mashahidi/martyrs. InshaAllah tutayapiga mayahudi. 🙏🤣
 
Kumbuka wapalestina zaidi ya 40,000 wameshapoteza maisha hadi sasa kufuatia ugaidi waliofanya mwaka moja uliopita na sidhani kama wana cha kujivunia kwa sababu bado tu wataendelea kupoteza maisha.
Kwenye kupigania taifa hiyo idadi ndogo na aibu za kwa Israel imelenga raia wa kawaida
 
Ukiangalia hali ya gaza ilivyo sasa kama una akili timamu kati ya israel na hamas nani amekula kipondo?
Wagonjwa wa akili hao. Wanajifariji huku wanateketea kama mchwa. Gaza imesambaratishwa na haitarudi kwenye haki yake Kwa zaidi ya miaka 1000
 
Ukiangalia hali ya gaza ilivyo sasa kama una akili timamu kati ya israel na hamas nani amekula kipondo?
Spain, ireland,qatar, turkey, Belgium,UN nk wanataka taifa huru la palestina, France kaacha kupeleka silaha israel,walimwengu wamepata uelewa mkubwa kuhusu taifa la kitapeli la israel,hamas wamepata faida kubwa sana
 
Back
Top Bottom