Leo Imetimia mwaka mmoja toka Israel ianze kupewa kipigo

Khaa!!!haya mambo kumbe kunawatu Mpo nayo siriazii kiasi hiki?
 
07 October 23 ndio kipigo Cha kuwafurusha kilianza rasmi kwa Wavamizi wa Kiyahudi toka Nchini Poland na bara Ulaya waliovamia Palestine kwa ajili ya kulinda maslahi ya mabeberu wa Ulaya.

Israel imekia ikitajwa kama taifa Lenye Silaha na Tech za kisasa lkn kipigo kimekuja kuwaumbua baada kuingiliwa hadi chumbani na kusulubiwa na Wapigania uhuru wa Hamas.

Sasa ni mwaka wameshindwa kudhibiti kikundi kidogo zaidi wameishia kulenga Shule, Hospital, na Makazi ya raia.
nikikumbuka benja alisemaga wiki tu narudi na mateka wote najikuta natafuta mahali walipoandika myahudi mteule nisome vizuri
 
Jinga kabisa,
Mkishiba urojo sijui huwa mnawaza nini huko nyuma
 
07 October 23 ndio kipigo Cha kuwafurusha kilianza rasmi kwa Wavamizi wa Kiyahudi toka Nchini Poland na bara Ulaya waliovamia Palestine kwa ajili ya kulinda maslahi ya mabeberu wa Ulaya.

Israel imekia ikitajwa kama taifa Lenye Silaha na Tech za kisasa lkn kipigo kimekuja kuwaumbua baada kuingiliwa hadi chumbani na kusulubiwa na Wapigania uhuru wa Hamas.

Sasa ni mwaka wameshindwa kudhibiti kikundi kidogo zaidi wameishia kulenga Shule, Hospital, na Makazi ya raia.
Hamas wamewaaibisha mno mazayuni.
 
Back
Top Bottom