green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
😂07 October 23 ndio kipigo Cha kuwafurusha kilianza rasmi kwa Wavamizi wa Kiyahudi toka Nchini Poland na bara Ulaya waliovamia Palestine kwa ajili ya kulinda maslahi ya mabeberu wa Ulaya. Israel imekia ikitajwa kama taifa Lenye Silaha na Tech za kisasa lkn kipigo kimekuja kuwaumbua baada kuingiliwa hadi chumbani na kusulubiwa na Wapigania uhuru wa Hamas.
Sasa ni mwaka wameshindwa kudhibiti kikundi kidogo zaidi wameishia kulenga Shule, Hospital, na Makazi ya raia.
Ukiangalia hali ya gaza ilivyo sasa kama una akili timamu kati ya israel na hamas nani amekula kipondo?07 October 23 ndio kipigo Cha kuwafurusha kilianza rasmi kwa Wavamizi wa Kiyahudi toka Nchini Poland na bara Ulaya waliovamia Palestine kwa ajili ya kulinda maslahi ya mabeberu wa Ulaya. Israel imekia ikitajwa kama taifa Lenye Silaha na Tech za kisasa lkn kipigo kimekuja kuwaumbua baada kuingiliwa hadi chumbani na kusulubiwa na Wapigania uhuru wa Hamas.
Sasa ni mwaka wameshindwa kudhibiti kikundi kidogo zaidi wameishia kulenga Shule, Hospital, na Makazi ya raia.
Mayahudi. Tutayapiga hadi yaone cha mtema kuni.Ukiangalia hali ya gaza ilivyo sasa kama una akili timamu kati ya israel na hamas nani amekula kipondo?
Wamekufa kama mashahidi/martyrs. InshaAllah tutayapiga mayahudi. 🙏🤣Kumbuka wapalestina zaidi ya 40,000 wameshapoteza maisha hadi sasa kufuatia ugaidi waliofanya mwaka moja uliopita na sidhani kama wana cha kujivunia kwa sababu bado tu wataendelea kupoteza maisha.
Hawezi kuthubutu hilo jambo hata siku moja anajua yupo uchi atashughulikiwa vibaya mnoJana kuna mwehu alituambia Israel atarusha viroketi vyake kwenda irani kama kumbukunbu ya kichapo chake alivyo ona Israel wamemchunia akahama na uzi wenyewe😂😂😂
Kwenye kupigania taifa hiyo idadi ndogo na aibu za kwa Israel imelenga raia wa kawaidaKumbuka wapalestina zaidi ya 40,000 wameshapoteza maisha hadi sasa kufuatia ugaidi waliofanya mwaka moja uliopita na sidhani kama wana cha kujivunia kwa sababu bado tu wataendelea kupoteza maisha.
Wagonjwa wa akili hao. Wanajifariji huku wanateketea kama mchwa. Gaza imesambaratishwa na haitarudi kwenye haki yake Kwa zaidi ya miaka 1000Ukiangalia hali ya gaza ilivyo sasa kama una akili timamu kati ya israel na hamas nani amekula kipondo?
Unadhani kuvunja vunja majengo ndio kula kipondoUkiangalia hali ya gaza ilivyo sasa kama una akili timamu kati ya israel na hamas nani amekula kipondo?
Ila mnaeongoza kwa kulia lia ni nyie kobaziMayahudi. Tutayapiga hadi yaone cha mtema kuni.
Viongozi wa hamas Ismail Haniyeh, mohamed deif wapo wapi kwani na wao ni nyumba?Unadhani kuvunja vunja majengo ndio kula kipondo
Spain, ireland,qatar, turkey, Belgium,UN nk wanataka taifa huru la palestina, France kaacha kupeleka silaha israel,walimwengu wamepata uelewa mkubwa kuhusu taifa la kitapeli la israel,hamas wamepata faida kubwa sanaUkiangalia hali ya gaza ilivyo sasa kama una akili timamu kati ya israel na hamas nani amekula kipondo?
Tukirusha fataki moja tu lazima dunia ijue.Sisi hatari sana.Ila mnaeongoza kwa kulia lia ni nyie kobazi
Viongozi wa hamas sio hamas kwani baada ya wao kufa hamas nayo nimekufaViongozi wa hamas Ismail Haniyeh, mohamed deif wapo wapi kwani na wao ni nyumba?
Wanalenga wanakojificha magaidi wanaokimbia vita.Kwenye kupigania taifa hiyo idadi ndogo na aibu za kwa Israel imelenga raia wa kawaida
Magaidi wa IDFWanalenga wanakojificha magaidi wanaokimbia vita.