Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Nimeona ni ujinga kulialia kila siku sasa ni mwendo wa vpn tu nilikuwa napata shida na configuration files namalizia tu kuzi sort hapa na kuna mdau nimekutana naye instagram ni mnigeria ananisaidia

Airtel leo mnaenda kupata tshs 2000 ya mwisho kwenye bando lakini bado nitakuwa hewani sana FOR FREE UNYONGE SASA BASI NYIE PANDISHENI TU HATA IWE 5000 KWA MB 50 ,WAZIRI MWENYEWE AKILALAMIKIWA ANAWASUTA WATU
 

Tupe siri
 
Mkuu umechelewa sana. Hapa nacomment nikiwa ndani ya vpn
 
Mwamba njoo ofisini huku tuyajenge😂 hawa wahuni wamezidi lazma na sisi tulambe asali kidogo. Njoo unipe tips mzee mwenzangu
 
Mwamba njoo ofisini huku tuyajenge😂 hawa wahuni wamezidi lazma na sisi tulambe asali kidogo. Njoo unipe tips mzee mwenzangu
Sawa naweka sawa configuration files hapa zikikaa sawa naku inbox ndiyo maana nasema nimeweka bando la 2000 leo la mwisho, nimechoka unyonge hawa watu wananipa stress hadi nimeona ka mvi kamoja kwenye ndevu leo kumbe stress za MAFIA LA COSA NOSTRA WA BANDO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…