Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,535
1. Pakua Thor Droidvpn HAPA na kuinstall kwenye handset yako
2. INGIA HAPA ujiregister then fanya confirmation kwenye e-mail yako ili uwe active
3.Sasa fungua ile apk uliyoinstall then Nenda setting na kuset ifuatavyo:-
R-UDP 53
L-UDP 0
UDP CONNECTION MODE-1
T-COUNT 2222
R-COUNT 03
4.Ukimaliza Go back na kulogin kwa kujaza user na pass ulizo create then click save
5.Chagua server za Thor Hacker then connect
6.Serereka for free
NB mtandao ni jukumu lako kutafuta unaokimbiza