Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

Yaani mkuu[emoji23][emoji23]
Nikajua ime connect, nikazama YouTube kucheki movie! Dakika kama 15 nimeletewa sms kutoka TTCL ya kubakiza MB 15 kutoka GB 1

Mwanzisha uzi utakufa kifo cha mende [emoji23]
 
Yaani mkuu[emoji23][emoji23]
Nikajua ime connect, nikazama YouTube kucheki movie! Dakika kama 15 nimeletewa sms kutoka TTCL ya kubakiza MB 15 kutoka GB 1

Mwanzisha uzi utakufa kifo cha mende [emoji23]
VPN ina kazi mbili
1.Kuficha masaburi
2.Free net Trick
Hivyo unapoweka line yenye voucher au bundle VPN itakusaidia kuficha masaburi tu ila bundle linalika kama kawaida.
Kama lengo ni Free net hapo line yako isliwe na hela wala bundle ndio itapiga kazi ingawa baadhi ya trick huwa inahitaji kuboost kwa kuweka 50 au 100 tu.
Hii trick aliyoweka Shaffin Simbamwene inapiga mzigo kwa TTCL na TIGO tu
 
Yaani mkuu[emoji23][emoji23]
Nikajua ime connect, nikazama YouTube kucheki movie! Dakika kama 15 nimeletewa sms kutoka TTCL ya kubakiza MB 15 kutoka GB 1

Mwanzisha uzi utakufa kifo cha mende [emoji23]
Tatizo lenu wavivu kusoma maelekezo mnayopewa !!!!!
Ebu futa hiyo App uliyoweka,tumia bundle lako udownload Apk toka link niliyowapa then install, pindi Bundle lako likiisha ndio ujaribu free trick line ikiwa haina salio wala bundle
 
Tatizo lenu wavivu kusoma maeleezo mnayopewa !!!!!
Ebu futa hiyo App uliyoweka,tumia bundle lako udownload Apk toka link niliyowapa then install, pindi Bundle lako likiisha ndio ujaribu free trick line ikiwa haina salio wala bundle
Mwenye ile picha ya msukuma anavuta bangi mbichi aweke hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaambiwa hapo ndo ilikuwa connected[emoji23]

Bundle lilivyokata tu, ikawa disconnected[emoji23]

Eti server za Kalifonia, wanaweka na ka satellite uchwara[emoji23]

Hii kitu jana imenimalizia muda wangu wa bure!
Screenshot_20220804-195228.jpg
 
Wenzio mbona tunapata kamserereko tangia kitambo we ndio unagundua leo

Mwaga mchele hapa tujikwamue, -----mara tozo, mara bundle mara bei ya unga, mcchele, mafuta na kila kitu kimepanda, je tutaishi kweli??!!😏
 
Nimeona ni ujinga kulialia kila siku sasa ni mwendo wa vpn tu nilikuwa napata shida na configuration files namalizia tu kuzi sort hapa na kuna mdau nimekutana naye instagram ni mnigeria ananisaidia

Airtel leo mnaenda kupata tshs 2000 ya mwisho kwenye bando lakini bado nitakuwa hewani sana FOR FREE UNYONGE SASA BASI NYIE PANDISHENI TU HATA IWE 5000 KWA MB 50 ,WAZIRI MWENYEWE AKILALAMIKIWA ANAWASUTA WATU
Mwaka wa pili huu, nipo hewani bureeeee
 
Kwani mmeshindwa kabisa kutengeneza wi-fi server ya sumaku na nyembe? Hadi muanze kudanganyana namna hii? Mi ndo ninayotumia, sema speed yake ni 2G ispokuwa kuanzia saa saba usiku to saa 11 alfajiri, inakuwa 3G

Hebu weka hayo maujanja mkuu, watu tunaadhirika pakubwa na bei za bundle.
 
Kwani mmeshindwa kabisa kutengeneza wi-fi server ya sumaku na nyembe? Hadi muanze kudanganyana namna hii? Mi ndo ninayotumia, sema speed yake ni 2G ispokuwa kuanzia saa saba usiku to saa 11 alfajiri, inakuwa 3G
Tudanganye ili iweje? Hakuna nchi watu wanakula kiulaini kama hapa bongo..wewe kaa hivyohivyo,kalagabaho!
 
Back
Top Bottom