Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

Niliyatumiaga hayo madude kipindi flani ila nikaachana nayo baada ya kuona mtandao uko slow, complication kibao, process kama zote ili tu upate kabundle ka bure.

Binafsi sipendi ishu za hivo wakati ukinunua bundle lako wala halina longolongo.

Tutafute pesa wakuu, ila kwa ushauri tu kama wewe bundle unatumia kupata pesa basi hangaika na hayo mafree vpn ila kama ni kuperuzi tu na kupata umbea achana na hayo makitu utapoteza muda wako wa kusaka pesa kipuuzi kabisa.
 
Kwani mmeshindwa kabisa kutengeneza wi-fi server ya sumaku na nyembe? Hadi muanze kudanganyana namna hii? Mi ndo ninayotumia, sema speed yake ni 2G ispokuwa kuanzia saa saba usiku to saa 11 alfajiri, inakuwa 3G
Nyie ndio wale mnaenda DIT Kupiga punyeto tu.


Ukifika pale ofsini ukiona Ile super computer. Unarudi room kulala.
 
Hayo maujanja siku hizi watu kibao wanayo hadi magroup yapo telegram ya bando la bure, ngoja na mimi nikaiupdate WireTurn yangu nianze kulamba asali japo inakauchachu kidogo.
Hii wiretun uchawi wake ni nini? Mbona inasumbua sana?
 
Hakuna namna.....Nape anakomaa na wanaolalamikia bei za bandoView attachment 2310797
Haya Majibu....hapo ndio huwa naona Umhimu wa Alshabab wakati mwingine. Wachome hayo ma minara. Mafuta bei ime panda. Je sisi mishahara ime panda? Je sisi nauli? Je gharama za bidhaa, vyakula? Au kuna ruzuku tumelipwa na serikali?
 
Back
Top Bottom