Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

View attachment 2312052View attachment 2312054
1. Pakua Thor Droidvpn na kuinstall kwenye handset yako
2. INGIA HAPA ujiregister then fanya confirmation kwenye e-mail yako ili uwe active
3.Sasa fungua ile apk uliyoinstall then Nenda setting na kuset ifuatavyo:-
R-UDP 53
L-UDP 0
UDP CONNECTION MODE-1
T-COUNT 2222
R-COUNT 03
4.Ukimaliza Go back na kulogin kwa kujaza user na pass ulizo create then click save
5.Chagua server za Thor Hacker then connect
6.Serereka for free
NB mtandao ni jukumu lako kutafuta unaokimbiza
Asante sana mkuu.
 
Yaani mkuu[emoji23][emoji23]
Nikajua ime connect, nikazama YouTube kucheki movie! Dakika kama 15 nimeletewa sms kutoka TTCL ya kubakiza MB 15 kutoka GB 1

Mwanzisha uzi utakufa kifo cha mende [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
VPN ina kazi mbili
1.Kuficha masaburi
2.Free net Trick
Hivyo unapoweka line yenye voucher au bundle VPN itakusaidia kuficha masaburi tu ila bundle linalika kama kawaida.
Kama lengo ni Free net hapo line yako isliwe na hela wala bundle ndio itapiga kazi ingawa baadhi ya trick huwa inahitaji kuboost kwa kuweka 50 au 100 tu.
Hii trick aliyoweka Shaffin Simbamwene inapiga mzigo kwa TTCL na TIGO tu
Hapa kwenye kuchagua server za Thor hacker ndio nimebaki njia panda,msaada tafadhali Bwana Mkubwa SPYMATE
 
Ishini na watu vizuri mpate chimbo la kulamba asali 😂😂😂
1c57fa2d60a643be8f4e2b008970ca9e.jpg
 
Nimeona ni ujinga kulialia kila siku sasa ni mwendo wa vpn tu nilikuwa napata shida na configuration files namalizia tu kuzi sort hapa na kuna mdau nimekutana naye instagram ni mnigeria ananisaidia

Airtel leo mnaenda kupata tshs 2000 ya mwisho kwenye bando lakini bado nitakuwa hewani sana FOR FREE UNYONGE SASA BASI NYIE PANDISHENI TU HATA IWE 5000 KWA MB 50 ,WAZIRI MWENYEWE AKILALAMIKIWA ANAWASUTA WATU
unatumia vpn ipi mkuu ya kulipia au ni zile za kuunganisha na laini only mfano ukiwa na TTCL uka-download app ya wire tun unakula maisha kimya kimya..
 
Kwani mmeshindwa kabisa kutengeneza wi-fi server ya sumaku na nyembe? Hadi muanze kudanganyana namna hii? Mi ndo ninayotumia, sema speed yake ni 2G ispokuwa kuanzia saa saba usiku to saa 11 alfajiri, inakuwa 3G
MKUU ENEDELEA KUNUNUA VOCHA MAKASIRIKO YA NINI SASA
 
vp umejaribu kwa kutumia laini ya ttcl maana kwangu inakubali ku-safu kwenye social media youtube,twitter & JF
Sina Ttcl kina mwana nilimpa maujanja nae ananiambia analeta kwa Ttcl kama kaweka bando sasa nitafanya mpango nisajili kama nilivyosajili Tigo kea ajili ya SkyVpn na Ec Tunnel pro zilikua hazikwami mdau wowote kama umeweka Mb vile
 
Nimeona ni ujinga kulialia kila siku sasa ni mwendo wa vpn tu nilikuwa napata shida na configuration files namalizia tu kuzi sort hapa na kuna mdau nimekutana naye instagram ni mnigeria ananisaidia

Airtel leo mnaenda kupata tshs 2000 ya mwisho kwenye bando lakini bado nitakuwa hewani sana FOR FREE UNYONGE SASA BASI NYIE PANDISHENI TU HATA IWE 5000 KWA MB 50 ,WAZIRI MWENYEWE AKILALAMIKIWA ANAWASUTA WATU
Mkuu hulitendei haki jukwaa[emoji24]
 
Back
Top Bottom