Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2316501. Nimesha connect na ipo sasa in surf , vip ni server namba ngapi ipo goood nikikonekt now ili nile asali na mm , hints natumia TIGO internet inaisha kesho saa 5 asubui
Watu wamejazana kwenye hizo server za free so jaribu server ingine hadi upate yenye nafasiHii notificcation ya kiwa server is full ina maama gani ??maana mm naruka tuu kwa ku click servers then inna andika is full
Mkuu mbona kwangu inakata kata shida itakua nini?!Naona Vinyembe vya Rungu max na Sumaku vinafanya mambo................
tupe namna nasi tukimbize
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
clerear data & force stop then aza na 1Mkuu mbona kwangu inakata kata shida itakua nini?!
MUDA HUU SAA 7 USIKU IMEKUBALI BANDO LIMEISHA LA KAWAIIIIIIDA NOW NI HIVI MSELELEKOOOOOOOOOOOO HAHAAWW. SHUKRANI SANS CHIEF ,Watu wamejazana kwenye hizo server za free so jaribu server ingine hadi upate yenye nafasi
Kila VPN ina changamoto zake boss!!Mimi kwangu kuna mda inaniandikia hivi afu inagoma kabisa mpaka nizime sim niwashe tena ttzo ni niniView attachment 2316608
Bila ya kushare na wenzio haina maana ungekaa kimya tuWatu wamepiga vifurushi vya Tigo mpaka wameshtuka wameamua kufunga sasa hv.
Tukapiga vya Airtel kimyakimya.
Tukahamia TTCL watu tumekula ma GB ya kutosha now wameshtuka wamefunga uchochoro.
Sasa hv tupo na Halotel tunaserereka na Ma GB Yao, mpaka kieleweke Yani.
Voda naona wanakaza kimtindo Ila kitaeleweka Tu.
OkayNimeona ni ujinga kulialia kila siku sasa ni mwendo wa vpn tu nilikuwa napata shida na configuration files namalizia tu kuzi sort hapa na kuna mdau nimekutana naye instagram ni mnigeria ananisaidia
Airtel leo mnaenda kupata tshs 2000 ya mwisho kwenye bando lakini bado nitakuwa hewani sana FOR FREE UNYONGE SASA BASI NYIE PANDISHENI TU HATA IWE 5000 KWA MB 50 ,WAZIRI MWENYEWE AKILALAMIKIWA ANAWASUTA WATU
Sasa hiyo app ya mod inapatikana google play au kuna link ya kuidownload. Namna unavyoelekeza ni as if mtu anajua kila kitu jambo ambalo si sawa.View attachment 2316539
Wewe unatumia Droidvpn yenyewe badala ya mod ya Thor Hacker(check screnshot) ambayo inakuwezesha kutumia premium server for free.
Chagua server zenye chata ya THOR tu ndio zipo kasi
Sasa hiyo app ya mod inapatikana google play au kuna link ya kuidownload. Namna unavyoelekeza ni as if mtu anajua kila kitu jambo ambalo si sawa.
Mbona nimeshaiweka hiyo link post za nyumaPakueni hii![]()
jamiiforums-THOR
MediaFire is a simple to use free service that lets you put all your photos, documents, music, and video in a single place so you can access them anywhere and share them everywhere.www.mediafire.com
Hiyo bei ya us dollar ama??Ishini na watu vizuri mpate chimbo la kulamba asali [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2315524
Mkuu unatumia 3G hapo mbona, kama simu yako inasupport 4G fanya uiforce isome 4G only ndio utaifaidiImekubali jameniView attachment 2316666