SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Kwahiyo unataka ufuatwe pm?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muanzisha Post alikuwa na Lengo la kuvuta watu PM awakamue kiaina wakati hizi mambo hazina maajabu yoyoteUmechelewa sana , pale telegrama kuna group kabisa , ni mwendo wa kuteleza tu
Ndio ilikuwa Target yake naonaKwahiyo unataka ufuatwe pm?
Hii force stop naitoa kwenye settings za simu au za app yenyewe?Force stop then fungua App uconnect
Kama bado jaribu kuset hivi:-
R-UDP 76
L-UDP 0
UDP CONNECTION MODE-1
T-COUNT 3 au 03
R-COUNT 1000
Ikifanya kazi leta mrejesho hapa coz sina Android natumia PC hapa
hizo settingForce stop then fungua App uconnect
Kama bado jaribu kuset hivi:-
R-UDP 76
L-UDP 0
UDP CONNECTION MODE-1
T-COUNT 3 au 03
R-COUNT 1000
Ikifanya kazi leta mrejesho hapa coz sina Android natumia PC hapa
kama inafanya kazi kwenye pc itakua kibokoNdio ilikuwa Target yake naona
Waache uvivu kwani ni lazima tutumie nishati ya Mwarabu kuendeshea mitambo,mbona zipo nishati mbadala ikiwemo mafuta mbadala tena kwa nusu ghara ya mafuta ya MwarabuHakuna namna.....Nape anakomaa na wanaolalamikia bei za bandoView attachment 2310797
Utapigwa tukioNakuja pm chapu
Mkuu @Lexuv SUV nipe muongozo kuhusu hii, yaan nimeshapakuwa App Sasa nifanye nini Hadi ifanye kazi.. itakuwa poa sana maana sielewi lolote hii kitu nimebaki kuingilia tu App Sina pa kuanziaView attachment 2316501. Nimesha connect na ipo sasa in surf , vip ni server namba ngapi ipo goood nikikonekt now ili nile asali na mm , hints natumia TIGO internet inaisha kesho saa 5 asubui
Mkuu kama usipojiongeza Hizi mambo utoweza Aseenikifungua setting mbona siyo hivyo vituView attachment 2317212
Ni Nokia 2.1 mkuuSimu yako itakuwa haisupport hiyo APK.
Kwani unatumia kimeo gani?
Windows 11 si inasupport android App kaipigishe tu inasogeza!!!!kama inafanya kazi kwenye pc itakua kiboko
Android ngapi 8 au uliupgrade kwenda 10?Ni Nokia 2.1 mkuu
One Man down do you copyUtapigwa tukio
Nimeconnect natumia tangu jana vpn yako naona imeniandkia download data limit reached..tunasolvu vipi hili suala au ndo basi tena niendelee kuteseka na bei za home internetOne Man down do you copy
Team Alfa.............. Man down
Do you copy over
We need backup over
I repeat Man down we need Air support over
HahahaOne Man down do you copy
Team Alfa.............. Man down
Do you copy over
We need backup over
I repeat Man down we need Air support over
Nami nona hizi dalili achana kabisa na akina igweWatu wanaingia kichwa kichwa kama Mandonga wanaenda kula za uso hapa