Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Niliyatumiaga hayo madude kipindi flani ila nikaachana nayo baada ya kuona mtandao uko slow, complication kibao, process kama zote ili tu upate kabundle ka bure.
Binafsi sipendi ishu za hivo wakati ukinunua bundle lako wala halina longolongo.
Tutafute pesa wakuu, ila kwa ushauri tu kama wewe bundle unatumia kupata pesa basi hangaika na hayo mafree vpn ila kama ni kuperuzi tu na kupata umbea achana na hayo makitu utapoteza muda wako wa kusaka pesa kipuuzi kabisa.