Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

Nimeona ni ujinga kulialia kila siku sasa ni mwendo wa vpn tu nilikuwa napata shida na configuration files namalizia tu kuzi sort hapa na kuna mdau nimekutana naye instagram ni mnigeria ananisaidia

Airtel leo mnaenda kupata tshs 2000 ya mwisho kwenye bando lakini bado nitakuwa hewani sana FOR FREE UNYONGE SASA BASI NYIE PANDISHENI TU HATA IWE 5000 KWA MB 50 ,WAZIRI MWENYEWE AKILALAMIKIWA ANAWASUTA WATU
Unajiungaje na hiyo vpn?
 
View attachment 2312052View attachment 2312054
1. Pakua Thor Droidvpn na kuinstall kwenye handset yako
2. INGIA HAPA ujiregister then fanya confirmation kwenye e-mail yako ili uwe active
3.Sasa fungua ile apk uliyoinstall then Nenda setting na kuset ifuatavyo:-
R-UDP 53
L-UDP 0
UDP CONNECTION MODE-1
T-COUNT 2222
R-COUNT 03
4.Ukimaliza Go back na kulogin kwa kujaza user na pass ulizo create then click save
5.Chagua server za Thor Hacker then connect
6.Serereka for free
NB mtandao ni jukumu lako kutafuta unaokimbiza
Step namba 4 nimefika inagoma
Screenshot_20220803-095116.jpg
 
Ndugu .hapo kwenye kuset unaset wapi ..maana hapa naona kama umejumuisha ..wakati ukiingia Kule kuna sehemu sehemu ya settings kuna options kibao ...tafadhali elekeza hatua kwa hatua
Set upande wa UDP...............
Nikitulia nitaweka screen shoot
 
Step namba 4 nimefika inag

Step namba 4 nimefika inagomaView attachment 2312695
Mkuu hiyo uliyoweka ni Droidvpn ya kawaida siyo MOD ya THOR HACKER hata hivyo nayo inaconnect kwa Free server tu.
Cha kufanya Uninstall hiyo Vpn alafu download na kuinstall hii jamiiforums-THOR alafu ukifikia hiyo step ya 4 bofya hapo chini palipoandikwa "Random Server" chagua Serve za THOR tu ndio zina speed ya Premium tofauti na free server then Connect.
Kama itagoma ingia setting ya simu uclear cache na data za hiyo VPN alafu force stop uanze upya proccess lazima iconnect
 
Pakueni hii

Hiyo uliyoweka ni Droidvpn ya kawaida siyo MOD ya THOR HACKER hata hivyo nayo inaconnect kwa Free server tu.

Back
Top Bottom