Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Wee jamaa nakutamani sana. Nina kazi nyingi za net mpk kichwa kinauma kwa hela ya bando itakayoenda.Mpaka leo nimetumia 189gb na nina kula mwaka wa nne huu..tatizo lenu mkipewa mnaleta matangazo ya kujisifu.ndio mana watu wameacha kuleta tricks au hole zikipatikana ..wazee wa mtandao wanakula kichwaView attachment 2699487
Nimeona ni ujinga kulialia kila siku sasa ni mwendo wa vpn tu nilikuwa napata shida na configuration files namalizia tu kuzi sort hapa na kuna mdau nimekutana naye instagram ni mnigeria ananisaidia
Airtel leo mnaenda kupata tshs 2000 ya mwisho kwenye bando lakini bado nitakuwa hewani sana FOR FREE UNYONGE SASA BASI NYIE PANDISHENI TU HATA IWE 5000 KWA MB 50 ,WAZIRI MWENYEWE AKILALAMIKIWA ANAWASUTA WAT
Nimeona ni ujinga kulialia kila siku sasa ni mwendo wa vpn tu nilikuwa napata shida na configuration files namalizia tu kuzi sort hapa na kuna mdau nimekutana naye instagram ni mnigeria ananisaidia
Airtel leo mnaenda kupata tshs 2000 ya mwisho kwenye bando lakini bado nitakuwa hewani sana FOR FREE UNYONGE SASA BASI NYIE PANDISHENI TU HATA IWE 5000 KWA MB 50 ,WAZIRI MWENYEWE AKILALAMIKIWA ANAWASUTA WATu
nomba nisaidie i kiongoziMpaka leo nimetumia 189gb na nina kula mwaka wa nne huu..tatizo lenu mkipewa mnaleta matangazo ya kujisifu.ndio mana watu wameacha kuleta tricks au hole zikipatikana ..wazee wa mtandao wanakula kichwaView attachment 2699487
ivi uyo jamaa ako mbaka leo inafanya kazi kwenye ttcl .kama inafanya kazi nomba nisaidie na mimi iyo maana nina ttcl af nipo nipo tu sina ata vpnYAh, Ipo slow sana lakini kwa wasap tu inasaidia kuchat ila kuna mjaa wangu wa Ttcl anasema kwake inapiga mpaka YouTube na Insta mimi kwa Tigo inakataa.
wanaotumia walitoboa siri wenyewe kwa kuwavimbia wakina nape mitandaoni,sasa wacha wayakoge..Kwahiyo kutumu VPN ni kosa kisheria kwa muda huu !!??
Dah mm ntaendelea kutumia maana inanirahisishia kutunza hela za kununulia bando aseeeewanaotumia walitoboa siri wenyewe kwa kuwavimbia wakina nape mitandaoni,sasa wacha wayakoge..
kaka tugawane hyo kesi basi....ni pm hyo vpnDah mm ntaendelea kutumia maana inanirahisishia kutunza hela za kununulia bando aseeee
Una file la npv tunnel mdau niperuzi voda???View attachment 2312052View attachment 2312054
1. Pakua Thor Droidvpn HAPA na kuinstall kwenye handset yako
2. INGIA HAPA ujiregister then fanya confirmation kwenye e-mail yako ili uwe active
3.Sasa fungua ile apk uliyoinstall then Nenda setting na kuset ifuatavyo:-
R-UDP 53
L-UDP 0
UDP CONNECTION MODE-1
T-COUNT 2222
R-COUNT 03
4.Ukimaliza Go back na kulogin kwa kujaza user na pass ulizo create then click save
5.Chagua server za Thor Hacker then connect
6.Serereka for free
NB mtandao ni jukumu lako kutafuta unaokimbiza