Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Wee jamaa nakutamani sana. Nina kazi nyingi za net mpk kichwa kinauma kwa hela ya bando itakayoenda.Mpaka leo nimetumia 189gb na nina kula mwaka wa nne huu..tatizo lenu mkipewa mnaleta matangazo ya kujisifu.ndio mana watu wameacha kuleta tricks au hole zikipatikana ..wazee wa mtandao wanakula kichwaView attachment 2699487
Goodluck, hata nikikufuata PM haina maana kwasabb umeamua kula mwenyewe. Km utapendezwa, nitumie inbox. Sasa hivi napata 100mb tu.
15k ipo ukiniwezesha