Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Hapa leo hadi nimeshindwa kwenda bar najiuliza hii choking naitoaje maana nahisi bado ile harufu ipo puani mwangu.
Ilikua hivi, nimepata breakdown mahala nikalazimisha limp mode hadi garage ila gari imebidi kuiacha hapo. Ili kufika ninakokwenda ikabidi nichukue mwendokasi jioni hii, mule ndani palikua pamejaa lkn sikujua nikaingia tu. Mbele yangu alikua amesimama binti mmoja mfupi kiasi kaweka nywele style moja nzuri tu.
Lakini baada ya sekunde kadhaa nikaanza kuhisi hewa kuwa nzito sana kuja kugundua kumbe pua yangu imeangaliana kabisa na na kichwa cha huyo binti aliepo mbele yangu. Aisee nywele zile zilikua zinatoa harufu moja mbaya sana kama upo karibu, na ni harufu kitaalamu tunaweza iita pungent au choking smell.
Staili ya nywele nzuri ila sasa kaa karibu usikie mziki wake. Nimevumilia hadi ikabidi nishuke tu kituo kinachofuata ili nitoke nibadili usafiri.