Leo jioni nimepanda mwendokasi baada ya kupata breakdown lakini kilichonitokea aisee wanawake hizo nywele muwe mnaosha

Leo jioni nimepanda mwendokasi baada ya kupata breakdown lakini kilichonitokea aisee wanawake hizo nywele muwe mnaosha

Wanawake wengi ni wasafi na Sifa ya wanawake ni usafi,
Kuandika Uzi special wa kumsema mwanamke sio sawa,
Nahisi Kuna uongo ndani yake.
Otherwise tusubiri boyfriend wake aje kumuanzishia Uzi humu.
Hata mimi huwa nashangaa hao wadada wachafu wanakutana nao wapi. Hizi thread za kutudhalilisha zimekuwa nyingi sana.
 
Fikiria hiyo harufu aivute mtoto mdogo anayenyonya lazima augue.Ndio maana watoto wa wamama wa manyele na mawigi hawaishi kuugua.
 
Kwanini uangaike na mwendokasi jioni kama hiyo wakati unajua kuna lundo la watu wanatoka kwenye shughuli zao ulishindwa nini kurequest makampuni binafsi ya usafiri, itoshe kusema wewe huna hela mkuu hayo mambo ya breakdown ni stori za kufikirika tu
Sawa.

Ila nenda ukafanyiwe maombi hio roho ya umasikini ikutoke
 
Sasa habari ya gari yako ilipata brakedown mbona hapa haina umuhimu ? Au baada ya nywele za dada kuwa chafu ulienda kumchukulia wigi la ziada kwenye gari yako?
Wewe unakuwa huwaelewi wamba wa mjini! Amekupa background hapo. Yy ni mtu wa private car.by accident akapanda mwendokasi ndio akakutana na hilo janga
 
Hata mimi huwa nashangaa hao wadada wachafu wanakutana nao wapi. Hizi thread za kutudhalilisha zimekuwa nyingi sana.
Sio kudhalilisha, hii nimekutana nayo mwenyewe kabisa
 
Hapa leo hadi nimeshindwa kwenda bar najiuliza hii choking naitoaje maana nahisi bado ile harufu ipo puani mwangu.

Ilikua hivi, nimepata breakdown mahala nikalazimisha limp mode hadi garage ila gari imebidi kuiacha hapo. Ili kufika ninakokwenda ikabidi nichukue mwendokasi jioni hii, mule ndani palikua pamejaa lkn sikujua nikaingia tu. Mbele yangu alikua amesimama binti mmoja mfupi kiasi kaweka nywele style moja nzuri tu.

Lakini baada ya sekunde kadhaa nikaanza kuhisi hewa kuwa nzito sana kuja kugundua kumbe pua yangu imeangaliana kabisa na na kichwa cha huyo binti aliepo mbele yangu. Aisee nywele zile zilikua zinatoa harufu moja mbaya sana kama upo karibu, na ni harufu kitaalamu tunaweza iita pungent au choking smell.

Staili ya nywele nzuri ila sasa kaa karibu usikie mziki wake. Nimevumilia hadi ikabidi nishuke tu kituo kinachofuata ili nitoke nibadili usafiri.
Huo ni mchanganyiko wa maparachichi, aloe Vera na mafuta ya nyonyo 😀
 
Mkuu umetema pumba sana. Huenda mamako angesafisha nywele zake ungetambua kuwa after kupata breakdown option ambayo ingekufaa ni bolt au uber. Ila ulivyo mbumbumbu umepanda public transport afu unakuja kulalamika humu. Usirudie tena huu ujinga. U want comfort katafute private transport. Humo kwenye mwendokasi wanabebaga mpaka ndoo za samaki na kunanuka na maisha yanaenda. Huwezi, kapande gari ya baba ako siku nyingine gari yako ikiharibika. Ngumbaru mkubwa
 
Lengo la uzi ni kutudanganya una gari[emoji120][emoji16][emoji1666]
 
Na wewe inaonesha ni mtoto wa mama sana. Watu wametoka michakatoni na kila mtu na shughuli anayoifanya, wametoka jasho siku nzima ikiwa pamoja na kichwa, sasa mida hiyo ulitaka anukie???
cha kuongezea tu mkuu hata madawa wanayopaka vichwani mwao yanachangia wao kunuka
 
Na wewe inaonesha ni mtoto wa mama sana. Watu wametoka michakatoni na kila mtu na shughuli anayoifanya, wametoka jasho siku nzima ikiwa pamoja na kichwa, sasa mida hiyo ulitaka anukie???
Ok na hzo rasta wakati wa kuoga huwa hazitakiwi kuguswa na maji,,, mana yake akienda kuoga hzo nywele hataziosha ,,it mean kesho yake tena ataamka na hlo jasho la kichwan!
 
Back
Top Bottom