Leo John Heche Anawadharau Watanzania waliopanga Nyumba?

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Nimesikitishwa sana ,kuchukizwa sana ,kushikwa na hasira kali sana na kumchukia sana Heche niliposikia akitoa kauli za dharau na kejeli kwa susan Kiwanga kwa sababu tu aliishi kwenye nyumba ya kupanga.

Hii maana yake nini? Maana yake ni kuwa Heche na CHADEMA kwa ujumla hawawatambui watanzania waliopanga Nyumba. Maana yake ni kuwa Watanzania waliopanga Nyumba hawana thamani na wala hawana haki ya kitu chochote kile hapa nchini. Maana yake kuwa kama heche angekuwa na madaraka angewanyima hata huduma za kijamii wale wote waliopanga na pengine kuwatenga kabisa kwenye kushiriki katika maamuzi.

Maana yake ni kuwa heche na CHADEMA anamaanisha kuwa kundi la vijana wengi ambao wengi wapo kwenye nyumba za kupanga hawana thamani wala haki na ni watu wasiofaa wala kutakiwa kupata haki ya aina yoyote ile. Maana yake ni kuwa Heche kwake yeye ukipanga nyumba unakuwa huna akili wala siyo binadamu kamili.

Ni dharau kubwa sana alilooonyesha huyu jamaa aliyekosa adabu kwenye mdomo wake. Ni mtu anayeonekana kuwa na ulimbukeni ,majivuno ,kiburi na kujisikia.ndio maana muda wote huwa anajisifia namna alivyokuwa akipokea mshahara mkubwa na posho kubwa alipokuwa mbunge. Ni mtu mzima kiumri lakini ni mtu wa Hovyo sana mwenye akili ya kitoto kitoto. Namchukia huyu mtu kuliko shetani.

Halafu unakuta mtu na akili yake Timamu anaunga mkono jitu la namna hii lililokosa hekima . Unaanzia wapi kuliunga mkono jitu la namna hii lililojaa dharau? Ni wangapi walipata ubunge kupitia CHADEMA mwaka 2010 na 2015 na hawakuwa hata na nyumba walizojenga wala kuwa hata na kiwanja ? Watu wangapi walipata Ubunge kupitia CHADEMA lakini walikuwa maskini wa kutupwa ,hawana mbele wala nyuma ,Elimu za kuunga unga kwa gundi ,Elimu za hapa na pale lakini wakachaguliwa na kuingia Bungeni?

Kwanini leo hili jitu lianze dharau kwa watanzania? Kwanini aanze kiburi na kejeli kwa watanzania? Ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Leo anawabagua na kuwadharau Watu waliopanga Nyumba akiwa hana madaraka. Vipi angekuwa na wadhifa kama uwaziri? Si angechapa viboko watu? Si angewatemea mate watu?

Nilishawaambieni watanzania wenzangu kuwa haya majitu ya CHADEMA yamejaa ubaguzi katika mioyo yao. Tunapaswa kuyaogopa kama ukoma na kuyapinga kwa nguvu zetu zote.tunapaswa kuyakemea popote yapitapo na kuyalaani kwa nguvu zetu zote . CHADEMA inapaswa kutangazwa kama adui wa Taifa letu. Li Heche linapaswa kuzomewa kila lipitapo na kukanyaga.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Mvua nayo ingejua inatumika kisiasa ingekata tu
20250607_132133.jpg
 
hujasikitishwa na watu wanaotekwa na kuuwawa?
 
Luca
Bora huyo amewadharau hao tu ikiwa ni kweli amewadharau. Nyie mmedharau kila kitu yaani Viumbe wote hadi muimba wao mmemdharau
 
1749448152020.jpg
 
Mimi huwa nikiona uzi wa Lucas Mwashambwa huwa simalizi kuusoma nakimbiliaga kwenye kusoma maoni,. aise Lucas wewe ni mpambanaji yaani fimbo unazochapwa ningekuwa mimi nimeshaachia hyo nafasi ya uchawa.
Hapo Mbozi Buku 7 zinatosha chakula cha WATOTO na jioni lita 5 za kimpumu yeye na nduguye ChoiceVariable 😁
 
Nyie wati
Ulisikitishwa pia na KAULI YA MAKALA JUU YA MPOX NA EBOLA kwa watanzania???
Ulisikitishwa kwa kiwango gani na kauli ya GWAJIMANIZATION?

USISIKITISHWE NA WATANZANIA KUUWAWA, KUTEKWA na kulawitiwa?
[/QUOTEu mnakosea mkimjibu lucas mwashamba mnampa attention
 
Back
Top Bottom