Leo John Heche Anawadharau Watanzania waliopanga Nyumba?

matatizo yako ya akili hayapo kwa watanzania wengine

Akili yako ndogo imeshindwa kumuelewa Heche, usidhani kila mtu ana akili kama yako.

#NoReformsNoElection
 
🤣🤣🤣
 
Sio heche tu bali hata watoto wako wanakudhalau ukiwa mpangaji
 
Na yule anaeita watu wapuuzi hukuumia?
 
 
"Kifo ni kifo" ikakufirahisha,
"wana kigamboni asie na mia mbili aogelee" ikakufurahisha,
"Ikibidi tule nyasi ila ndege ya raisi lazima inunuliwe"
"Tuhamie burundi"
"Bilioni *** za hela ya mboga"!?
 
Serikali ya chama tawala ni zaidi ya miaka 60 haijawahi kumuonea huruma mwananchi
 
Nyie watu mnakosea sana mkimjibu Lucas mwashamba,mkimjibu huyo jamaa ndiyo mnampa attention na nguvu ya kuendelea kuwakela cha msingi mum ignore tu
Toa ujinga wako hapa wewe. Hili ni jukwaa la wenye akili Timamu na wanaojitambua. Kwa hiyo ni bora ungekaa pembeni uache wenye akili Timamu wajadili hoja
 
Bado haujatueleza wsliokuwa nawe walivuna ndoo ngapi za machozi yaliyokuwa yakikububujika.
 
Bora waliopanga kuliko wewe unayeishi kwa shemeji yako huku kutwa nzima ukikenua meno na kusifu watekaji
 
Mlamba kwato huez muelewa heche!! Nyie ndio wale mmewaza ujinga bodaboda kwa kuwapa jina la maafisa usafirishaji!!! Shenz kbs
 
ni aibu, dharau na fedheha sana kua na viongozi waropokaji kama heche,
mbaya zaidi heche mwenyewe kwasasa anaishi kwa wazazi wake baada ya kufilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti. Na ni lema ndie alimdanganya na masuala ya kubeti.

Na kwasasa msamaria mwemwa tu kamuhifadhi heche Dar, kwa vile huyo hana ajira na kipato chake ni cha kuunga unga tu kwa tabu na chadema bado hawana pesa ya kumpangia nyumba ya maana.
hata gari la heche analotumia ameazimwa tu na mwana ccm fulani hivi asie na majivuno.
 
Pamoja na kushabikia upinzani ila kwangu Heche sio kiongozi kabisa, jamaa anatumia manguvu ya kikuria kwenye siasa. Twende mbele turudi nyuma CDM imempoteza jembe Freeman Mbowe, huyu sasa ndio alikuwa kiongozi wa kupambana na CCM kwa sasa. Heche sidhani kama anaweza kuongoza hata nyumba kumi, qualities za uongozi = 0.
 
BABU TULIA BABU
BABU KAUSHA BABU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…