Leo John Heche Anawadharau Watanzania waliopanga Nyumba?

No reform no election. Wanaopangwa wamefanya maskini na hawa wanaoimbiwa no reform no election. Ama ulitaka awe chawa wenu na wanaokutuma uwe chawa.
No reform no election.
 
Mkuu hebu zichunguzi vizuri likes zako, zisiwe zimefichwa tena na moderators wasiotaka kuona unawakosoa viongozi wa chama kile 🤣🤣🤣
 
Halafu huwezi kuandika huu upuuzi wako bila kuanza na "ndugu zangu watanzania"?

Maana sio kila mtu ana undugu na kunguni wa mama Abdul.
 
Halafu huwezi kuandika huu upuuzi wako bila kuanza na "ndugu zangu watanzania"?

Maana sio kila mtu ana undugu na kunguni wa mama Abdul.
Bila shaka itakuwa wewe ni mhamiaji haramu maana watanzania wote sisi ni ndugu
 
Heche na Lissu ni vichaa.
 
No Reforms No Election
 
Ndugu yangu, usihangaike na John Heche. Tuliosoma nae SAUT EDUCHE 2006/2009 tunaamini hana akili timamu. Msamehe tu!
 
Hichi cha Heche cha kusema ukweli mtupe ndio ukiona

Hata Shee wa Singida alitekwa hujaliona hilo

Akila za makalioo
 
CCM wamemuwezesha ajenge nyumba nyegezi, Mwanza, ameanza dharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…