Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ahahahah asante kwa kunikumbusha huwa nasahauUkumbuke kubeba na sadaka
La mtakatifu nani?Nitasali kanisani kwetu huku
huku wanakotishiana kkktLa mtakatifu nani?
Ahaha ushirika wa kijitonyama au?huku wanakotishiana kkkt
Mambo yasiyo kuhusu achana nayo fwata yanayo kuhusu weweMajivu ya nini tena?
Ni mambo ya kibiblia au mapokeo ya kidini?
VizuriPopote nitakapokutana na Rc church.
RC Segerea.Kristo
Leo ni juma tano ya majivu ambapo kwaresima ina anza rasmi kwa mwaka 2023 mimi nitaenda St peter ostarbay kusali wewe utakuwa kanisa gani?
Uwe na ibadannjemaRC Segerea.
Nop niko nje ya mjini hukoAhaha ushirika wa kijitonyama au?
Nilisahau kuwa uko lagosNop niko nje ya mjini huko
Hili andiko ungelipeleka usharikani huko kama hutaki kuulizwa maswali.Mambo yasiyo kuhusu achana nayo fwata yanayo kuhusu wewe
Acha kupanik jibu swaliMambo yasiyo kuhusu achana nayo fwata yanayo kuhusu wewe
Kwanini hili suala limewekwa hapa JF kama halituhusu?Mambo yasiyo kuhusu achana nayo fwata yanayo kuhusu wewe
Wee kafiri mbinguni umewahi kufika?Hili andiko ungelipeleka usharikani huko kama hutaki kuulizwa maswali.
Nami nauliza majivu ni ishara ya nini? Ibada kama hizo mbinguni zilifanyika? Maana unakutana na vitoto mtaani vimechafuka nyuso balaa
View attachment 2525765