Leo Jumatano ya Majivu unasali ukiwa Kanisa gani?

Leo Jumatano ya Majivu unasali ukiwa Kanisa gani?

Kama huwapendi wakatatoliki na ukatoliki bora ukajinyonge kwani hakuna namna, tuko zaidi bil. 2 duniani wewe na Mwandosya wako hata laki hamfiki
Idadi haigeuzi wala kuleta majibu ya ulicho ulizwa
 
Pale makanisa ya kiprotestant yaliyojimega Rc na kwenda kuanzisha Yao bila kubeba syllabus ya matukio muhimu kama jumatano ya majivu, alhamisi kuu, ijumaa kuu na jumamosi kuu , wanakusanyika Cha kufanya hawana zaidi ya kuimba mapambio ya kucheza na kurukaruka😄😄 na unamkuta yupo njiani busy kavaa Mavazi meusi ambayo waanzilishi wakatoliki siku hizi hawavai kwenye matukio ya huzuni kwani ni ishara ya Giza , utakuta siku ya matawi a.k.a mitende wamebeba majani hayo lakini ibada Yao hawaijui
 
Inataka moyo kujibu swali la kijinga
Tatizo makatekista hamna uwezo wa kujibu maswali. Mmedumazwa na aina ya ibada zenu zisizo na mjadala wala kuhoji.
 
Majivu ya nini tena?
Ni mambo ya kibiblia au mapokeo ya kidini?

Majivu ni suala la Kibiblia, ambapo ni ishara ya toba na majuto. Ni ishara ya kijinyenyekeza na kuonyesha utayari wa kumrudia Mungu kwa kuacha njia isiyo sahihi na kuiendea ile iliyosahihi.
-Kutoka 9:8
-Hesabu 4:13
-2Samuel 13:19
-1Wafalme 13:5
-Ester 4:1
-Jeremiah 6:26
-Maombolezo 3:16
-Jonah 3:6
-Mathayo 11:21
-Luka 10:13
-Waebrania 9:13
-2Peter 2:6

n.k, n.k.

I hope this helps.
 
Kw
Tatizo makatekista hamna uwezo wa kujibu maswali. Mmedumazwa na aina ya ibada zenu zisizo na mjadala wala kuhoji.
Kwani nyie mnaibada au huwa mnaimba na kutoa ushuhuda 🤣🤣🤣🤣
 
Kw

Kwani nyie mnaibada au huwa mnaimba na kutoa ushuhuda 🤣🤣🤣🤣
Jibu maswali yaliyo ulizwa mwamposya na matapeli wengine hawana nafasi hapa
 
Kristo

Leo ni Jumatano ya majivu ambapo kwaresima inaanza rasmi kwa mwaka 2023 mimi nitaenda St Peter Oysterbay kusali. Wewe utakuwa Kanisa gani?
Mkuu Mwachiluwi salam kwako. Mkuu Samahani, hivi hii Ibada ya Majivu ina utofauti wowote na ile ya kukanyaga mafuta? Je Ibada ya majivu ina Msingi wowote wa kimaandiko?
Ahsante
 
Mkuu Mwachiluwi salam kwako. Mkuu Samahani, hivi hii Ibada ya Majivu ina utofauti wowote na ile ya kukanyaga mafuta? Je Ibada ya majivu ina Msingi wowote wa kimaandiko?
Ahsante

Inatofauti majivu tuna paka ishara ya majuto daudi alipo jitambua kuwa amekosa alianguka kwenye jivu kuomba msamaha ishara ya kuwa yeye si kitu ni majivu

Kukanyaga mafuta watu wanakanyaga ili wapone ili wanunue magari ili wavuke na vyao kuna sababu nyingi na zani ww unaona
 
Back
Top Bottom