Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,025
- 1,270
Inatofauti majivu tuna paka ishara ya majuto daudi alipo jitambua kuwa amekosa alianguka kwenye jivu kuomba msamaha ishara ya kuwa yeye si kitu ni majivu
Kukanyaga mafuta watu wanakanyaga ili wapone ili wanunue magari ili wavuke na vyao kuna sababu nyingi na zani ww unaona
Mkuu Mwachiluwi nashukuru kwa majibu. Mkuu kama utakumbuka kipindi cha Agano la kale ishara au matendo kadhaa yalifanywa na watu binafsi kama ishara ya majuto au kutubu mfano kujipaka majivu (sio kupakwa majivu), kuvaa magunia (sio kuvikwa magunia) au kufunga kula, kunywa au vyote kwa pamoja..
Mkuu Mwachiluwi natambua katika kipindi hiki cha Agano Jipya, wagonjwa wanaweza kupakwa Mafuta kama Ishara kumwalika Roho mtakatifu kuingilia uponyaji wake INGAWA watu wanaponywa kwa imani sio kupakwa mafuta. Sasa Mkuu Mwachiluwi , naomba sasa basi kujua msingi wa kimandiko wa ibada ya Majivu ni nini? Je kupaka majivu ni ishara ya kimaandiko ya kumuunganisha Mtu na nini?
Ahsante