Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta mada unajiuma mwenyewe.Toka nizaliwe sijawahi kuona kampeni zilizopoa kama hizi za uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Ile hamasa na shamra shamra tulizozoea miaka ya nyuma hazipo kabisa.
Naona uchaguzi huu utavunja rekodi kwa kuwa na wapiga kura wachache kuwahi kutokea nchini. Hii ni dalili ya kifo cha demokrasia na umoja wa kitaifa.
Mwaka mzima wamefanya siasa peke yao wanashindwa nini kufanya kampeni peke yao?Maendeleo bila kuheshimu katiba na sheria za nchi, ni sawa na kubaka mwanamke halafu utarajie kuwa ata enjoy, akili ndogo ni shida sana
Eti uzalendo unajengwa kwa unafikiEti kuweni wazalendo, uzalendo unajengwa kwa kuheshimu katiba na sheria za nchi, sio kwa kuua, kuteka, kukamata watu, kutesa watu na kupiga risasi watu wanaopishana na wewe kimawazo
Wanataka kuhalalisha uhuni wao, watanzania sio wajinga kiasi hichoMwaka mzima wamefanya siasa peke yao wanashindwa nini kufanya kampeni peke yao?
Toka nizaliwe sijawahi kuona kampeni zilizopoa kama hizi za uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Ile hamasa na shamra shamra tulizozoea miaka ya nyuma hazipo kabisa.
Naona uchaguzi huu utavunja rekodi kwa kuwa na wapiga kura wachache kuwahi kutokea nchini. Hii ni dalili ya kifo cha demokrasia na umoja wa kitaifa.