The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Uchaguzi au Uchaguzi.......!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kampeni ni kwaajili ya wanachama au wananchi wote hasa wasio wa chama wa chama husika?Mleta mada unajiuma mwenyewe.
Mbona unatabiri kabla ya kampeni kuanza?
CCM inao wanachama wake na watahudhuria kampeni zao.
Nyinyi mmejitoa sasa domodomo mingi ya nini?
Umoja wa kitaifa umewekwa mfukoni!
Eti kuweni wazalendo, uzalendo unajengwa kwa kuheshimu katiba na sheria za nchi, sio kwa kuua, kuteka, kukamata watu, kutesa watu na kupiga risasi watu wanaopishana na wewe kimawazo
CCM wametuibia kwa kutupora ushindi, kisha waje tena kutupigia kelele? Waende zao huko kwa wajinga kama wao. Huku kwetu wala wasije kabisa.
Mabilioni ya kugharamia uchaguzi yalisha tengwa hivyo lazima manyang'au wazitafune. Huu ni ufisadi wa hali ya juu kabisa.Kampeni ya nini? Tayari imewekwa wazi chama cha siasa kinachoshiriki uchaguzi ni kimoja.
Wapuuzi ni hao wanaokulipa hela za kuja kupost ujinga humu.Unasema umeporwa huku unasema umejiondoa nyie wapuuzi sana
State agent
Kumekucha huku kwetu ndiyo uzinduzi Wa kampeni unafanyika meza kuu wamejaa viongozi Wa ngazi ya chama Mkoa wilaya na kata huku wasikilizaji Wa uzinduzi kampeni nipo peke yangu mgombea ametambulishwa ameombwa ajieleze ameanza na kusema Leo yeye hatazungumzia Mandege flyover masibitali Ila nitajikita kuomba kura zenu kwani mchakato huu mpaka nimefika hapa kupitia kwenye kura za maoni nimekoswakoswa na sumu iliyowekwa kwenye soda na mgombea mwenzabgu na ile kunywa tu nikazimia nilikimbizwa hospitalia ila Leo namshukuru Mheshiwa JPM kwani madajtari walivyojuwa kuwa nimenyweshwa sumu kwenye kura za maoni Dr akasema ngoja tuunge mkono juhudi kwa kuokoa roho yako
Waislam, mapagani, wanaccm na wssiojulikana nao wanaenda kanisani kufanya nini? Kama lazima waende kanisani kuombea uchaguzi, viongozi wetu wangekuwa na akili kidogo kuliko yako wangeshauri hawa waanze na kampeni wamalizie na kanisa ibada ya pili. Hii ingepunguza msongamano kanisani na hata kwenye kampeni. Inaonekana mwitikio wa wagombea ni mkubwa lakini siku 7 za kampeni ni chache mno ushauri wa busara unahitajika ili kuepuka malalamiko toka kwa wagombea watakoshindwa kuwafikia wapiga kura wao wote. Wapiga kura wengi tumejiandikisha kuchagua viongozi wetu kuunga mkono juhudi.Mkuu bado saa 2 ndio tunaenda kanisani unataka tufanye kampeni sahizi kweli?
subiri jioni utaona uzinduzi wa kampeni maeneo mbalimbali
Toka nizaliwe sijawahi kuona kampeni zilizopoa kama hizi za uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Ile hamasa na shamra shamra tulizozoea miaka ya nyuma hazipo kabisa.
Naona uchaguzi huu utavunja rekodi kwa kuwa na wapiga kura wachache kuwahi kutokea nchini. Hii ni dalili ya kifo cha demokrasia na umoja wa kitaifa.
[/QUOTE
Kwetu sisi CCM hoja sio kudorora kwa kampeni. Hoja yetu tutanyakua mitaa, vijiji na vitongoji vingapi na ushindi wa kishindo kiasi gani!!
pumbavu huna lolote we kibuduSi mmesusia uchaguzi? Mnaouongelea wa nn? Nyambafu