Uchaguzi 2020 Leo kampeni zinaanza, CCM wanaona aibu kufanya kampeni peke yao?

Toka nizaliwe sijawahi kuona kampeni zilizopoa kama hizi za uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Ile hamasa na shamra shamra tulizozoea miaka ya nyuma hazipo kabisa.

Naona uchaguzi huu utavunja rekodi kwa kuwa na wapiga kura wachache kuwahi kutokea nchini. Hii ni dalili ya kifo cha demokrasia na umoja wa kitaifa.
Sasa wanafanya kampeni zipi au za nini wakati wamepita bila kupingwa wenzao si wamejitoa
 
Inawezekana hata mahusiano ya ndoa alifanya ubabe kuwa nayo!
Kwani ana ndoa? Yeye na mkewe waliachana siku nyingi sana, tangu alipompa mimba mdogo wa mkewe. Usidhani wapo pamoja kama mke na mume, wako kama nembo tu ya taifa. Na mama Mara Nyerere ndiye alifanya kazi kubwa ya kuwaweka pamoja
 
Toka nizaliwe sijawahi kuona kampeni zilizopoa kama hizi za uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Ile hamasa na shamra shamra tulizozoea miaka ya nyuma hazipo kabisa.

Naona uchaguzi huu utavunja rekodi kwa kuwa na wapiga kura wachache kuwahi kutokea nchini. Hii ni dalili ya kifo cha demokrasia na umoja wa kitaifa.
Wafuasi wanaogopa kupopolewa mawe eti
Wacha na wao waone kadhaa ya kukosa uhuru wa kufanya jambo
 
Hamna cha kampeni wala bibi yake kampeni, jamaa kafunguka fungu la kampeni lipo sasa wanafanya hata kwa siku mbili kuzuga kwamba fungu linatumika lakini linaishia kwa mbuzi katoliki + bia full stop ila ukitaka kwenda kuwinda shivaz pia ni full
 
Chama cha mauaji(ccm) 2020 watatumaliza tukikatae mapema. Hakuna kwenda kupiga kura hewa isiyo thaminiwa.
 
Mi nampenda sana Magufuli kwa uthubutu wake ktk mambo mengi,LAKINI ktk hili la uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa HAPANA,muheshimiwa rahisi mbona unakandamiza sana upande wa pili?? In any Democratic country any election should be competitive, and all political parties should have fair and conducive environment to conduct their election campaigns, Mr President think more than twice about state of the nation and political future of this peaceful and united poor country.
 
Toka nizaliwe sijawahi kuona kampeni zilizopoa kama hizi za uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Ile hamasa na shamra shamra tulizozoea miaka ya nyuma hazipo kabisa.

Naona uchaguzi huu utavunja rekodi kwa kuwa na wapiga kura wachache kuwahi kutokea nchini. Hii ni dalili ya kifo cha demokrasia na umoja wa kitaifa.
Mkuu hii ramli au bao?
 
IMG-20191117-WA0018.jpg
 
CCM wametuibia kwa kutupora ushindi, kisha waje tena kutupigia kelele? Waende zao huko kwa wajinga kama wao. Huku kwetu wala wasije kabisa.
Si wamesema hawataki ushauri wa watu wa Darasa la saba.

Naona wataenda kupiga kampeni zao Vyuo vikuu na kwenye maofisi makubwa.
Huko vijijini wengi ni Darasa la saba.
Ndio maana mwaka huu hawataki kampeni sana maana hawana muda na darasa la saba.
Huko vijijini wanachotaka ni kura tuu ili waendelee kujimwambafai na PhD zao.

CCM itakuaja kuangushwa ghafla bila kutegemea siku watakapokuja wapinzani wa Kweli.
 
Muulize Mwenyekiti wa chama fulani kuhusu kula kodi za Watanzania anazopewa ruzuku kila mwezi. Huyu ndo anajua kula kodi zetu vizuri.
Hili nalo neno kwa wapinzani.
Hwataki kuambiwa huu ukweli .
Demokrasia imekufa ndani ya vyama vya upinzani.
Ndio maana wanakosa uhalali wa kujitokeza na kupinga kwa nguvu zote kila dalili ya udikteta katika nchi yetu.

Siku vyama vya upinzani vitakapoamua kuheshimu Demokrasia ndani ya vyama vyao ndipo watakapoweza kuipinga serikali ya CCM kwa kuiga udikteta kwao.
 
Huo ukweli kila siku wanaukimbia
 
Toka nizaliwe sijawahi kuona kampeni zilizopoa kama hizi za uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Ile hamasa na shamra shamra tulizozoea miaka ya nyuma hazipo kabisa.

Naona uchaguzi huu utavunja rekodi kwa kuwa na wapiga kura wachache kuwahi kutokea nchini. Hii ni dalili ya kifo cha demokrasia na umoja wa kitaifa.
Hao hawana aibu!
 
Chama cha mauaji(ccm) 2020 watatumaliza tukikatae mapema. Hakuna kwenda kupiga kura hewa isiyo thaminiwa.
Safari hii hawatapata damu zetu za kutoa kafala wakati Wa kampeni walimwaga damu za mawazo,akwilina nk.Damu zetu zinathaman kuliko ushindi wao wa kishindo,goli liko wazi wafunge
 
Toka nizaliwe sijawahi kuona kampeni zilizopoa kama hizi za uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Ile hamasa na shamra shamra tulizozoea miaka ya nyuma hazipo kabisa.

Naona uchaguzi huu utavunja rekodi kwa kuwa na wapiga kura wachache kuwahi kutokea nchini. Hii ni dalili ya kifo cha demokrasia na umoja wa kitaifa.
Mlipoambia kwamba vyama vya siasa vya upinzani kufikia 2019 vinatakiwa kuwa vimekufa unadhani alitania?
 
Acha tusubiri matokeo...kimya cha huu uchaguzi kimezd mnoooo.
 
Back
Top Bottom