Uchaguzi 2020 Leo kampeni zinaanza, CCM wanaona aibu kufanya kampeni peke yao?

Uchaguzi 2020 Leo kampeni zinaanza, CCM wanaona aibu kufanya kampeni peke yao?

Kampeni ya nini? Tayari imewekwa wazi chama cha siasa kinachoshiriki uchaguzi ni kimoja.
 
Mleta mada unajiuma mwenyewe.
Mbona unatabiri kabla ya kampeni kuanza?

CCM inao wanachama wake na watahudhuria kampeni zao.

Nyinyi mmejitoa sasa domodomo mingi ya nini?
Kampeni ni kwaajili ya wanachama au wananchi wote hasa wasio wa chama wa chama husika?
 
Sasa wanafanya kampeni za nini wakati wako peke yao!??

Kituko!
 
Nani kakulazimisha ule ni wito wazalendo wapo sio lazima wewe na mmeo


State agent
Eti kuweni wazalendo, uzalendo unajengwa kwa kuheshimu katiba na sheria za nchi, sio kwa kuua, kuteka, kukamata watu, kutesa watu na kupiga risasi watu wanaopishana na wewe kimawazo
 
Kupita bila kupingwa =
kupita bila kupigiwa kura.
 
Unasema umeporwa huku unasema umejiondoa nyie wapuuzi sana

State agent
CCM wametuibia kwa kutupora ushindi, kisha waje tena kutupigia kelele? Waende zao huko kwa wajinga kama wao. Huku kwetu wala wasije kabisa.
 
CCM ni vioga kama nyumbu kenge hawa.Pamoja na Dikteta wao kufanya kampeni miaka 4 akijimilikisha TBC na vyombo vingine vya habar vimrushe Live ktk mikutano uchwara lakini wametia mpira kwapani na kutokomea maporini nyambafu zenu. Mapimbi ninyi mnabahati mmekimbia uwanjani na mkachinje bata mwekundu. Tungewanyoa asubuhi tuu kabla hata ibada ya pili haijaanza.
Any way maendeleo hayana vyama, ntakushangaa Mkurugenzi nikuteue mimi halafu umtangaze mpinzani ameshinda =mzee wa Sumu.
 
Kampeni ya nini? Tayari imewekwa wazi chama cha siasa kinachoshiriki uchaguzi ni kimoja.
Mabilioni ya kugharamia uchaguzi yalisha tengwa hivyo lazima manyang'au wazitafune. Huu ni ufisadi wa hali ya juu kabisa.
 
CCM hawahitaji kampeni. Kazi za maendeleo zinaonekana. Kazi ilikuwa kwa hao majirani.
 
Kumekucha huku kwetu ndiyo uzinduzi Wa kampeni unafanyika meza kuu wamejaa viongozi Wa ngazi ya chama Mkoa wilaya na kata huku wasikilizaji Wa uzinduzi kampeni nipo peke yangu mgombea ametambulishwa ameombwa ajieleze ameanza na kusema Leo yeye hatazungumzia Mandege maflyover masibitali Ila nitajikita kuomba kura zenu kwani mchakato huu mpaka nimefika hapa kupitia kwenye kura za maoni nimekoswakoswa na sumu iliyowekwa kwenye soda na mgombea mwenzangu na ile kunywa tu nikazimia nilikimbizwa hospitali ila Leo namshukuru Mheshiwa JPM kwani madaktari walivyojuwa kuwa nimenyweshwa sumu kwenye kura za maoni Dr akasema ngoja tuunge mkono juhudi kwa kuokoa roho yako
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumekucha huku kwetu ndiyo uzinduzi Wa kampeni unafanyika meza kuu wamejaa viongozi Wa ngazi ya chama Mkoa wilaya na kata huku wasikilizaji Wa uzinduzi kampeni nipo peke yangu mgombea ametambulishwa ameombwa ajieleze ameanza na kusema Leo yeye hatazungumzia Mandege flyover masibitali Ila nitajikita kuomba kura zenu kwani mchakato huu mpaka nimefika hapa kupitia kwenye kura za maoni nimekoswakoswa na sumu iliyowekwa kwenye soda na mgombea mwenzabgu na ile kunywa tu nikazimia nilikimbizwa hospitalia ila Leo namshukuru Mheshiwa JPM kwani madajtari walivyojuwa kuwa nimenyweshwa sumu kwenye kura za maoni Dr akasema ngoja tuunge mkono juhudi kwa kuokoa roho yako
 
Daaah nimekutana na mgombea m'moja wa ccm bar anazungusha tuu round, fungu la kampeni halina kazi.. Kwa hasira nikala bia zake 5 asubuhi SAA 4 nikaenda zangu kulala ndio nimekurupuka naenda kurecharge..
 
Mkuu bado saa 2 ndio tunaenda kanisani unataka tufanye kampeni sahizi kweli?

subiri jioni utaona uzinduzi wa kampeni maeneo mbalimbali
Waislam, mapagani, wanaccm na wssiojulikana nao wanaenda kanisani kufanya nini? Kama lazima waende kanisani kuombea uchaguzi, viongozi wetu wangekuwa na akili kidogo kuliko yako wangeshauri hawa waanze na kampeni wamalizie na kanisa ibada ya pili. Hii ingepunguza msongamano kanisani na hata kwenye kampeni. Inaonekana mwitikio wa wagombea ni mkubwa lakini siku 7 za kampeni ni chache mno ushauri wa busara unahitajika ili kuepuka malalamiko toka kwa wagombea watakoshindwa kuwafikia wapiga kura wao wote. Wapiga kura wengi tumejiandikisha kuchagua viongozi wetu kuunga mkono juhudi.
 
Toka nizaliwe sijawahi kuona kampeni zilizopoa kama hizi za uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Ile hamasa na shamra shamra tulizozoea miaka ya nyuma hazipo kabisa.

Naona uchaguzi huu utavunja rekodi kwa kuwa na wapiga kura wachache kuwahi kutokea nchini. Hii ni dalili ya kifo cha demokrasia na umoja wa kitaifa.
[/QUOTE
Kwetu sisi CCM hoja sio kudorora kwa kampeni. Hoja yetu tutanyakua mitaa, vijiji na vitongoji vingapi na ushindi wa kishindo kiasi gani!!
 
Back
Top Bottom