Uchaguzi 2020 Leo kampeni zinaanza, CCM wanaona aibu kufanya kampeni peke yao?

Ccm hawana aibu maana wanajua ushindani wa kweli huwa unawaacha na wakati mgumu. Ikumbukwe wananchi wameshaichoka ccm, hivyo haina uwezo wa kushinda tena kwa kura za wengi zaidi ya figisu. Hivyo wanaona bora wawe pekee yao, na hilo hawalionei aibu hata kidogo.
 
Hivi CCM hawajisikii aibu kuwa na mwenyekiti wa aina hii anayeharibu kila kitu kwa mbinu za kishamba namna hii? Siasa ni ushawishi, yeye kila kitu anafanya ubabe tuu. Inawezekana hata mahusiano ya ndoa alifanya ubabe kuwa nayo!
 
Mleta mada unajiuma mwenyewe.
Mbona unatabiri kabla ya kampeni kuanza?

CCM inao wanachama wake na watahudhuria kampeni zao.

Nyinyi mmejitoa sasa domodomo mingi ya nini?
 
Maendeleo bila kuheshimu katiba na sheria za nchi, ni sawa na kubaka mwanamke halafu utarajie kuwa ata enjoy, akili ndogo ni shida sana
Mwaka mzima wamefanya siasa peke yao wanashindwa nini kufanya kampeni peke yao?
 
Ccm hawana aibu walio na aibu walisha jitoa wote,

Ata akipiga kura mmoja anatangazwa mshindi tena kwa ushindi asilimia 100. Season two hii
 
Ha Ha Ha watajipigia kura wenyewe sijui mh alikosea wapi unajua hata ushawishi sina
 
Eti kuweni wazalendo, uzalendo unajengwa kwa kuheshimu katiba na sheria za nchi, sio kwa kuua, kuteka, kukamata watu, kutesa watu na kupiga risasi watu wanaopishana na wewe kimawazo
Eti uzalendo unajengwa kwa unafiki
 
Chama Dola!
Unachukua, Unaweka, Waaa!!!
Ccm Hoyee Ccm Hoyee Ccm πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…
 
Hilo kibamba alilizungumzia juzi hapa kuwa uchaguzi wa mwaka huu utakuwa na idadi ndogo sana
 
Aibu ni utimamu wa akili. Anaetembea uchi kichwani ziko tenge, aibu kwake haipo.
 
Kampeni za nini labda iwe 2025 Kusaka mandala wa JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…